Tarehe 28/7/2020 yaweza kuwa siku ya kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watoa heshima kwenye jeneza la kiongozi wa Tanzania

Je na nyomi la Kule uwanja wa Uhuru watu 500 kati ya watu milioni 50 vipi?? We kweli utopolo unadhani watanzania wote wanaishi Dar??
Acha kulinganisha msiba na vitu vya kutaka sifa. Uhuru watu wanaenda kwa utaratibu wala hakuna anaetafuta sifa kama ninyi.
 
Taarifa ya Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema ya kuhudhuria uagwaji na utoaji wa heshima za mwisho wa Marehemu Mkapa kesho imesababisha hamasa kubwa ya umati wa watu kuhudhuria tukio hilo kiasi ambacho kinatarajiwa kuvunja rekodi (mimi pia kwa mara ya kwanza nitahudhuria)

Natoa wito kwa askari wa usalama wa barabarani kuongeza juhudi za kudhibiti lundo la magari yatakayofika eneo hilo.

Tutakuwa sote mkuu.

Alipo tupo!
 
Vijinga vijinga vipo vingi Sana hapa!!!
Na ndiyo Maana kumezuwiwa wote wenye fikra mbovu kama hizi za kijinga kuingia stadium Kwa sabb ya kila tukio kwenu ni siasa!
 
Back
Top Bottom