Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 123,589
- 234,213
Taarifa ya Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema ya kuhudhuria uagwaji na utoaji wa heshima za mwisho wa Marehemu Mkapa kesho imesababisha hamasa kubwa ya umati wa watu kuhudhuria tukio hilo kiasi ambacho kinatarajiwa kuvunja rekodi (mimi pia kwa mara ya kwanza nitahudhuria)
Natoa wito kwa askari wa usalama wa barabarani kuongeza juhudi za kudhibiti lundo la magari yatakayofika eneo hilo.
Natoa wito kwa askari wa usalama wa barabarani kuongeza juhudi za kudhibiti lundo la magari yatakayofika eneo hilo.