Tarehe 28/7/2020 yaweza kuwa siku ya kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watoa heshima kwenye jeneza la kiongozi wa Tanzania

Kukosa kutenga hata siku moja ya mapumziko kwa ajili ya kuwapa nafasi Watanzania kwenda kumuaga Rais aliyewaongoza kwa miaka kumi ni kumkosea heshima hayati Benjamin Mkapa.

Anyway kila la heri kwa watakaokwenda kesho.
siku ya j 5 ni mapumziko kitaifa
IMG-20200726-WA0021.jpg
 
Kesho ni SIKU YA KUMKUMBUKA MHE.CHACHA WANGWE aliyeuliwa tarehe 28.7.2008 na Mhusika wake Mkuu Bw. DISMAS MALYA alipotaka kufunguka zaidi Mbowe akampa Cheo ndani ya CHADEMA kuzima uvumi. Watanzania welevu bado wanakumbuka na wataendelea kulaani mauaji ya kulinda Ulaji wa Mwenyekiti wa Ufipa. Poleni wana Kemakorere lkn hongereni mlichomfanya huyu muuuaji hatosahau milele. RIP kaka CHACHA
Kwa hiyo serikali inafahamu chadema kuna wauaji lakini haiwachukulii hatua zozote?
Kama ni kweli basi tuna shida sana.
 
Back
Top Bottom