Trouton
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,203
- 1,394
landi mzee wa maneno mengi. alizingua kutuandalia practical ya kemia kwenye necta, kila tukifanya hamna badiliko lolote linalotokea, hapo kulia unataka na kucheka unataka maana hamna mtu aliyepata jibu, tukabaki tunaangaliana tu.Hivi landi mzee was kemia yupo bado meta
RIP ticha