Tanzia: Simwaba wa Meta Sekondari Mbeya afariki dunia

Ni kweli bangi tulikuwa tunavutia mto meta/mbaliz road/mabatini....duh...mby umekaa kumbe??

Khaa ....aisee..yes nimesoma pande hizo ...Lutengano walikua wazuri kwenye hesabu balaa...Mbeya day shazi la 4 balaa na zero..Iyunga walikua bright balaa...sema wakorofi mno mno...yaan ilikua tukiwaona pale mwanjelwa matron anasema waachen wapite hao..hahah...sisi hapo majority geti kali....kuja mbalizi tena yelewiiii....yaan those days bwana had raha
 
Dah si mchezo...old days are always good days....kuna umiseta moja tuliwahi kuchapana na watoto wa Iyunga...sema walituzidi wakorofi kinyama...
 
Jamaa alikuwa anajua sana kuchambua Novels, plays ,Poems na Short stories akikusimulia kitabu huyo haina haja ya kukisoma unaenda tu kujibu kwenye pepa
My friend alinisimulia tu kitabu cha Three Suitors One husband nikajibu mpaka Necta. Mi sikusoma vitabu vingi lakini nikajibia mitihani.
 
Huyo jamaa ni hatari kwenye Literature anaathari kubwa sana na wanafunzi wake wengi ni sasa hivi ni waalimu wa Lg Sangu, Ivumwe na Mbalizi
 
Mtefu kanipiga History2 mlima mbeya.da uyu sir nikimkumbuka huwa nakumbuka mbali.ananipiga pindi baadae tunakutana mama land pale maghorofani tunakula mvinyo.
 
Meta haijawahi kuwa ya serikali. Shule za serikali Mbeya mjini enzi hizo zilikuwa tatu tu, Iyunga, Loleza na Mbeya Day. Sasa hivi ndio zimekuja nyingi sana hizi za Kata.
Meta, Sangu na Itende ni za wazazi chini ya CCM, Meta ilianza mdogo mdogo sana ilikuwa na jina kubwa kweli ila ukifika unakuta imejengwa na matofali ya matope, ila wanafunzi walikuwa nyomi na wengi walikuwa wanapenda kupanga magheto uswazi yaani forest, jakaranda na mabatini....
Za kata sio za serikali mkuu
 
Sina kumbukumbu kama Meta ishawahi kuwa Shule ya Serikali labda umechanganya na Meta Hospitali
 
Za kata zimeanza miaka ya 2006, 2006 ndio zikaanza kuwa nyingi, miaka hiyo 2000, 2001 watu walikuwa wanatoka Uyole kuja shule Mbeya day...
Kweli mana uyole nakumbuka sisi chaguo la kwanza tulienda samora Machel kufungua shule.waliobaki chaguo la pili walienda uyole.Nasema shule za kata sio za serikali kwa maana zinamilikiwa na kata na ndio inaziendesha.Tofauti na loleza,Iyunga izi ndo za serikali mana inatoa chakula na bajeti zao zingine ada yao ilikuw ndogo 75000/y.
 
Yap naikumbuka hiyo Samora Machel pale airport, kiukweli naimiss sana Mbeya...
 
Mi pia nme pamic mkuu sema majukum.Ila tutafika mana ndo our hood wengine nategemea December if God wishes nikale bata mitaa ya city pub
Yap naikumbuka hiyo Samora Machel pale airport, kiukweli naimiss sana Mbeya...
 
Meta haijawahi kuwa ya serikali. Shule za serikali Mbeya mjini enzi hizo zilikuwa tatu tu, Iyunga, Loleza na Mbeya Day. Sasa hivi ndio zimekuja nyingi sana hizi za Kata.
Meta, Sangu na Itende ni za wazazi chini ya CCM, Meta ilianza mdogo mdogo sana ilikuwa na jina kubwa kweli ila ukifika unakuta imejengwa na matofali ya matope, ila wanafunzi walikuwa nyomi na wengi walikuwa wanapenda kupanga magheto uswazi yaani forest, jakaranda na mabatini....
Hapana, Meta ilikuwa Middle School wasichana karibu na shule ya wasichana Saint Elizabeth na kabla ya hapo ilikuwa pamoja na Loleza sekondari, shule ya Middle ya wavulana ilikuwa NA baadae LA na ilikuwa karibu na uwanja wa mpira, shule ya wazazi ilikuwa Mabatini ikijulikana TAPA; Vinginevyo tuseme shule ya Meta iliyotokea Loleza imepotea kama ulivyopotea uwanjani wa mpira.
Kwa kifupi mimi nilisoma middle school ya LA na kisha Iyunga ambayo kabla ya hapo ilikuwa Mbeya School.
Swali, Mbeya haikuwa na shule ya middle ya wasichana?
 
Back
Top Bottom