ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,279
Atakua kachanganya na Hospitali ya Wazazi Meta.Sina kumbukumbu kama Meta ishawahi kuwa Shule ya Serikali labda umechanganya na Meta Hospitali
Atakua kachanganya na Hospitali ya Wazazi Meta.Sina kumbukumbu kama Meta ishawahi kuwa Shule ya Serikali labda umechanganya na Meta Hospitali
Daah.. kweli,lakini hata hivyo anawakilishwa na baadhi ya wanafunzi wake,mfano Mtela Mwampamba ambaye ni DAS Kisarawe,alikua mwanafunzi wake 2005-2007.R.I.P mwalimu.... nimefuatilia kwa karibu mnakasha huu! Watumishi aina ya Mwl. Simwaba ndio tulitegemea wawe promoted to ma-DAS na ma-DC; aina ya watu ambao utumishi wao hauna shaka! Lakini bahati mbaya ndio hivyo tena. RIP Mwl. Simwaba na wengie wa caliber yako.
Aliugua au ilikuaje,jamani mwalimu kanisikitisha sana.You can never change kafira (Africa) but Kafira will change you.....R.I.P Simwaba tupo msibani hapa Majengo nyumbani kwake na kina ticha Seti,Gwimire,Landi,Mpwiniza na Njegite......Mzee Simwaba kafa ghafla bin vuu.
Kibibi.... mdada mmoja mweupeee........ hatari,au siyo huyo mkuu...?Sazi salula, john mbena wp swala aka kusha, big, mtaliano, method, kingwande wp kibibi, simba sasa hv naskia ni mwalimu ganja man, dah siwezi kuendelea ila najua kati ya ni lio wataja hapa wengine ni memba ahhhh nimekumbuka wp bwenda hgl, wp flora, hv kimatale bado yupo? Aaah teddy, Eliza, frola. Rip simwaba
Wote wawili wametsngulia mbele ya Haki mkuuDah! Mm sijasoma kiingereza lakn namkumbuka alikuwa anakuja lutengano kufundisha kiingereza kama part-time yeye na Mtefu
Tuma basi hata rambirambi mkuu r.i.p alikupa elimu nawe toa hiyo rambi rambi jina la bwana lihimidiweDah mkuu alikuwa mwalimu wangu huyu R.I.P