Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,959
- 29,332
Na kumbuka shule ya Meta ilikuwa ya serikali imekuaje sasa ni ya wazazi? Au Meta nyingine siyo ile ya Forest karibu ya gereza iliyotokea Loleza.Pumzika kwa amaniView attachment 1082991
Na kumbuka shule ya Meta ilikuwa ya serikali imekuaje sasa ni ya wazazi? Au Meta nyingine siyo ile ya Forest karibu ya gereza iliyotokea Loleza.Pumzika kwa amaniView attachment 1082991
Mkuu nasikia hata lyata wa lutengano alifariki duniaDah! Mm sijasoma kiingereza lakn namkumbuka alikuwa anakuja lutengano kufundisha kiingereza kama part-time yeye na Mtefu
Lyata alifariki kitambo sana,Mkuu nasikia hata lyata wa lutengano alifariki dunia
Aisee, alikuwa mwl. Wangu wa physics na mathematicsLyata alifariki kitambo sana,
Ndio hvyo mkuuAisee, alikuwa mwl. Wangu wa physics na mathematics
Hapa simwaba, pale mtefu, kule gwimile, huku petra, aaah ulikuwa unakosaje "A" kwenye masomo yao, R.I.P though
Mtefu naye alishatangulia mbele ya hali mwaka wa tatu huu kama sikoseiMteefu,,,, mwanaharakati wa ukweli naye si alikufa
Wewe itakuwa umesoma HKL wewe 😀😀😀Hapa simwaba, pale mtefu, kule gwimile, huku petra, aaah ulikuwa unakosaje "A" kwenye masomo yao, R.I.P though
😂😂😂 akili za kupewa walichanganya na za kwao, R.I.P MwalimuHebu mliofundishwa na huyo mwalimu mahiri wa kiingereza angalau kwenye uzi huu tu tujaribu kumuenzi kwa kutiririka kwa lugha hiyo aliyoipenda mpendwa wetu.
Meta haijawahi kuwa ya serikali. Shule za serikali Mbeya mjini enzi hizo zilikuwa tatu tu, Iyunga, Loleza na Mbeya Day. Sasa hivi ndio zimekuja nyingi sana hizi za Kata.Na kumbuka shule ya Meta ilikuwa ya serikali imekuaje sasa ni ya wazazi? Au Meta nyingine siyo ile ya Forest karibu ya gereza iliyotokea Loleza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I think you are right.Hebu mliofundishwa na huyo mwalimu mahiri wa kiingereza angalau kwenye uzi huu tu tujaribu kumuenzi kwa kutiririka kwa lugha hiyo aliyoipenda mpendwa wetu.
what are you talking about?😁😁😁😁😁Hebu mliofundishwa na huyo mwalimu mahiri wa kiingereza angalau kwenye uzi huu tu tujaribu kumuenzi kwa kutiririka kwa lugha hiyo aliyoipenda mpendwa wetu.
Yawezekana mkuuNilikuwa natoka mbalizi kufata hicho kichwa.yawezekana wewe jamaa tukafahamiana mkuu.
Ni kweli bangi tulikuwa tunavutia mto meta/mbaliz road/mabatini....duh...mby umekaa kumbe??Jamani wanafunzi wa Meta walikua manunda...tulikua tukiwaona town sisi tunawashangaa hahaha si wa kike au kume..walikua kma bangi bangi hv ..lol..!kifupi meta ilikua chakaramu balaa..!