Tanzia: Simwaba wa Meta Sekondari Mbeya afariki dunia

Tanzia: Simwaba wa Meta Sekondari Mbeya afariki dunia

Hapana, Meta ilikuwa Middle School wasichana karibu na shule ya wasichana Saint Elizabeth na kabla ya hapo ilikuwa pamoja na Loleza sekondari, shule ya Middle ya wavulana ilikuwa NA baadae LA na ilikuwa karibu na uwanja wa mpira, shule ya wazazi ilikuwa Mabatini ikijulikana TAPA; Vinginevyo tuseme shule ya Meta iliyotokea Loleza imepotea kama ulivyopotea uwanjani wa mpira.
Kwa kifupi mimi nilisoma middle school ya LA na kisha Iyunga ambayo kabla ya hapo ilikuwa Mbeya School.
Swali, Mbeya haikuwa na shule ya middle ya wasichana?
Basi hiyo TAPA ndio ilibadilishwa ikawa Meta sisi tunaongelea miaka ya tisini mwishoni na elfu 2000 mwanzoni, middle school ni zamani sana mkuu...
 
Mtefu kanipiga History2 mlima mbeya.da uyu sir nikimkumbuka huwa nakumbuka mbali.ananipiga pindi baadae tunakutana mama land pale maghorofani tunakula mvinyo.
😁😁😁😁😁 niliachaga ada hapo mama land totoz za mzumbe, totoz za T.I.A mamaz huruma za mbeya nikajikuta asubuhi 150, haipo alafu nadaiwa Ada yani sitapasahau pale
 
Apo kuacha ada mkuu ata 2 percentage ilikuwa lazima.watoto wazur utafikir wametoroka peponi [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niliachaga ada hapo mama land totoz za mzumbe, totoz za T.I.A mamaz huruma za mbeya nikajikuta asubuhi 150, haipo alafu nadaiwa Ada yani sitapasahau pale
 
Basi hiyo TAPA ndio ilibadilishwa ikawa Meta sisi tunaongelea miaka ya tisini mwishoni na elfu 2000 mwanzoni, middle school ni zamani sana mkuu...
Swali si zamani sana bali shule ya kati Meta (middle) iliyotenganishwa na sekondari ya Loleza imepotelea wapi? Au nayo imepotea kama vilivyopotea viwanja vya mpira nchi? Ninauliza kutokana na CCM kupora mali za wananchi Mara tu baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi.
 
Watakuwa CCM walichukua.
 
Hahahhaha.watoto wa Iyunga walikua noma jaman...ss hv hakuna ht shule yenye sifa hizo...wamekuwa nyanya nyanya tu hhhaa
Hawa vijana wa Iyunga walikua na timbwili haswa kwenye mashindano ya mpira wakikutana na watoto wa sangu panakua hapatoshi
 
Hawa vijana wa Iyunga walikua na timbwili haswa kwenye mashindano ya mpira wakikutana na watoto wa sangu panakua hapatoshi
Iyunga tulikuwa nuksi weee hhahajaj kwenye umiseta .

Boys was iyunga tulikuwa tunakuja sana meta kupiga tuition ya practical za chemistry kwa ticha landi .

Na mademu wa meta na sangu na loleza"Loz" walitushobokea sana vidume enzi zile na suruali zetu za khaki na tai nyeusi hahaha
 
RIP teacher
Sikuwa nasoma english ila nakumbuka kipindi tunakaribia kufanya necta akasema, " if you can't fight them, join them".
 
Back
Top Bottom