TANZIA: Rock City Wing

TANZIA: Rock City Wing

Habari zenu wadau wa Jamii Forums..

Nasikitika kuwataarifu kuwa member mwenzetu dada ram amefiwa na binamu yake.

Msima upo Butimba jirani na Magereza (Mwanza). Naomba tuungane
kumfariji dada ram na wale walioko hapa jijini Mwanza tunaweza kwenda kumpa pole....

"Bwana alitoa na Bwana ametwaa
jina lake lihimidiwe"

Habari ziwafikie WanaJF wote walioko Jijini Mwanza na nje ya Mwanza, wana Rock City Wing wote ThinkPad, Home First, TrueLove, Elizabeth Dominic, Rock City, Mzee Gedeli......

Ina LiLaah Waina eLayhi Rajoun POLE na huzuni zatuUnganisha pamoja Mwz/Mungu amlaze pema marhemu, Na awape SUBIRA/faraji wafiwa wote. AMIN
 
  • Thanks
Reactions: ram
Tunawashukuru sana wapendwa wanaJF kwa ufariji wenu...

Sasa nipo njiani kuelekea msibani...

Mkuu kandukamo1 umesomeka vyema!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Jamani wana JF nashukuruni wote kwa rambi rambi zenu, tumempoteza mdogo wetu, amezimika kama mshumaa. Tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi. nawashukuru sana na tuko pamoja. Salamu hizi ziwafikie pia wanafamilia ya SAUT, alikuwa ni mwanafunzi pale wa 3rd year
Poleni sana wana mwanza.
 
pole sana Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.tuko pamoja...
 
  • Thanks
Reactions: ram
Pole sana ram mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi ameni.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Pole sana ram na JF Rock City kwa msiba huu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Ahsante Arushaone, Martha amezimika kama mshumaa....... kweli Mungu anavuna kwa majira ayatakayo mwenyewe
Pole sana ram na JF Rock City kwa msiba huu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani wana JF nashukuruni wote kwa rambi rambi zenu, tumempoteza mdogo wetu, amezimika kama mshumaa. Tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi. nawashukuru sana na tuko pamoja. Salamu hizi ziwafikie pia wanafamilia ya SAUT, alikuwa ni mwanafunzi pale wa 3rd year

Tuko pamoja mum katika kipindi hiki kigumu...

Ufunuo 21:4
"Naye atafuta kila chozi katika
macho yao, wala mauti
haitakuwapo tena wala
maombolezi wala kilio, wala
maumivu hayatakuwapo tena
kwa kuwa mambo ya kwanza
yamekwisha kupita."
 
  • Thanks
Reactions: ram
Poleni sana ndugu zangu kwa msiba huu. Yatosha kwa msiba kuwa mawaidha kwa wengine. Mungu amjaalie mizani mizuri na Nuru katika NJIA yake, ameen. !!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom