TANZIA: Rock City Wing

TANZIA: Rock City Wing

pole sana mdogo wangu ram
Mungu akupe faraja kwa msiba uliokupata...
RIP binamu...
Pamoja sana Rock city
 
Last edited by a moderator:
Bestito ram pole sana kwa msiba uliokupata
Mungu awatie nguvu na faraja yake iangaze kwenye familia
yenu poleni sana
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Nipo safarini Bujumbura na nimepokea kwa masikitiko juu ya msiba kutufika wana-wing wa Mwanza. Pole sana ram, poleni sana members wenzangu wa Rock City Wing. Ahsante charminglady kwa taarifa, kweli ukatibu wakufaa vema.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Mbele yetu nyuma yake bwana alitoa na bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Ameen
 
  • Thanks
Reactions: ram
Nipo safarini Bujumbura na nimepokea kwa masikitiko juu ya msiba kutufika wana-wing wa Mwanza. Pole sana ram, poleni sana members wenzangu wa Rock City Wing. Ahsante charminglady kwa taarifa, kweli ukatibu wakufaa vema.

Shukrani sana Mwenyekiti..... Huku twaendelea vyema kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ram; tuko pamoja katika msiba huu; ukilia sikufuti machozi, bali tunalia wote.
 
  • Thanks
Reactions: ram
h sympathy dear ram

th
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
ahsanteni wapendwa, Mungu awabariki kwa faraja mnayotupa JF Rocky City wing na mimi mwenyewe, hakika Jf ni zaidi ya mtandao wa kijamii, Mungu awabariki wote, pamoja sana

Pole sana ram Mungu aendelee kukutia nguvu na moyo wa uvumilivu, apumzike kwa amani mpendwa wetu.
 
Apepe binamu yetu. Pole sana ram.

ni hilo tu kwa leo.

Baaas.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Poleni sana Ram pamoja na familia yote ya wafiwa. Mwenyezi Mungu awawekee wepesi katika shughuli zote za msiba. Asante kwa taarifa Charming Lady. Pamoja Saana.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Pole sana RAM ,poleni sana wanandugu,Mungu awape uvumilivu,hekima na busara ktk msiba huu mzito.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

The joy in the sight of God is death of his saints.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom