Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
Poleni sana JF Mwanza..
Poleni sana ndugu zangu kwa msiba huu. Yatosha kwa msiba kuwa mawaidha kwa wengine. Mungu amjaalie mizani mizuri na Nuru katika NJIA yake, ameen. !!
Pole sana ram mungu amipe ujasiri katika kipindi hiki kigumu .
ahsanteni wapendwa, Mungu awabariki kwa faraja mnayotupa JF Rocky City wing na mimi mwenyewe, hakika Jf ni zaidi ya mtandao wa kijamii, Mungu awabariki wote, pamoja sana
Nini chanzo cha kifo cha mpendwa wetu?