TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

PAPA WEMBA IS NOT DEAD!!!
Following reports that have circulating on Social media, we would like to confirm that Papa Wemba is still alive and kicking. His latest tweet says: "Je ne suis pas mort." which means "I am not dead." It is another of those scams that announce the death of popular personalities.

Papa Wemba was born Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba in 1949 in Lubefu (Sankuru District, Democratic Republic of Congo). He is a Congolese rumba (later known as soukous) musician, one of Africa's most popular musicians, and prominent in world music.
 
Kadondoka jukwaani kuna clip inasambaa kwenye social media
 
Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba yule mwanamuziki mkongwe wa bolingo kutoka Jamhuri ya Kedemokrasia ya Congo amefariki dunia.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-04-24-13-28-47.png
    Screenshot_2016-04-24-13-28-47.png
    63.5 KB · Views: 123
  • Screenshot_2016-04-24-13-23-15.png
    Screenshot_2016-04-24-13-23-15.png
    80.2 KB · Views: 111
Ni kama alikuwa kabaki mwenyewe labda koffi nae. My his soul rest in peace
 
Naona mwaka huu wasanii wakubwa wanaondoka, kuanzia kina David Bowie, Prince, sasa huyu nguli
 
Aisee ni kweli. Wikipedia wameshaupdtate na mapicha kabisa
 
PAPA WEMBA IS NOT DEAD!!!
Following reports that have circulating on Social media, we would like to confirm that Papa Wemba is still alive and kicking. His latest tweet says: "Je ne suis pas mort." which means "I am not dead." It is another of those scams that announce the death of popular personalities.

Papa Wemba was born Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba in 1949 in Lubefu (Sankuru District, Democratic Republic of Congo). He is a Congolese rumba (later known as soukous) musician, one of Africa's most popular musicians, and prominent in world music.
Ukweli ni kwamba Papa Wemba amefariki. Alikuwa akitumbuiza akadondoka ghafla kwenye stage huku wanamuziki wengine wakiwa wanaendelea na utumbuizaji. Hata mtandao wa BBC wameandika muda mfupi uliopita huku wakisema wataweka updates zaidi.
 
Back
Top Bottom