TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

Ama hakina mungu ni muweza wa yote,mbele yako,nyuma yetu...kalale unapostahili Kanjunju.
 
R.i.p kanjunju. Mungu awape familia faraja kipindi hichi kigumu.
 
sijajua tutaenzije utamaduni huu wa kufahamishana hasa mwenzetu anapotutoka maana ID ni siri, RIP Kanjunju
 
Hapa ndio naona umuhim wa kutumia jina kamili na sahihi.
Maana Mungu anamjua na atamuita kwa jina lake alilopewa na wazazi na sio Kanjunju.

Ningeomba Jf Mods wangekuwa kwenye usajili wanaweka Page ya mtu kujaza Profile kamili ambalo litakuwa limefichwa na Mods(Hiden profile).

Tunajifunza kutokanana matukio.

Maana hata nikienda Msikitini kusali sijui hata nimuombee vipi,ila mungu ni mjuzi zaid maana ndio ameleta yote haya na anajua liombwalo.

Ila majina kamili na kwenye profile la mtu ni muhim sana,maana hapa ingekuwa rahisi sana Mod ku retrieve data na kutupa jina kamili ili tufanye maombi kwa jina lililoandikwa mbinguni siku ya kuzaliwa na siku ya mwisho.

Na wale wote ambao aliokwazana nao kwenye baadhi ya uchangiaji wa Topics humu,basi nawaomba wamsamehe.Maana humu sote tunajuan jinsi tunavyovurugana kwenye kuchangia mada hadi kufikia kutukana.

Mungu Amlaze mahala Pema Peponi (Ameen)
 
Mungu ailaze roho ya marehemu kanjunju mahala pema peponi


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kanjunju umetangulia mbele ya haki nasi inatukumbusha kuwa kila nafsi itaonja mauti! RIP
 
Back
Top Bottom