TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

Kanjunju upumzike panapostahili,tutakukumbuka kwa michango yenye uzito katila majukwaa yetu...
 
Last edited by a moderator:
kumbe alikuwa ke haya majina ya kibantu mh!
R.I.P KANJUNJU
 
R.I.P our friend, naona ulijiunga nae mwaka na mwezi mmoja.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu kanjunju mahala pema peponi... Ameeen.!!
 
Back
Top Bottom