Kaka imekuwaje unanipa pole mimi!?
Mungu analijua jina la Kanjunju?
So sorry!
kweli wana jf ni muhimu sana unakuwa angalau na watu wawili watatu ambao mnafahamiana katikaulimwengu wa kawaida, inakuwa rahisi kupashana habari.