TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

User Name: Kanjunju
User Title: Member
Last Activity: 15th October 2013 22:13
 
RIP kamanda

tutakukosa sana hapa

Poleni familia. Mungu awape faraja ipitayo hekima za kibinadamu

Poleni wana JF
 
RIP Kanjunju..poleni wana JF wote.
 
So sorry!

kweli wana jf ni muhimu sana unakuwa angalau na watu wawili watatu ambao mnafahamiana katikaulimwengu wa kawaida, inakuwa rahisi kupashana habari.
 
Pole kwa wafiwa,Mungu amlaze mahala pema peponi.
 
May the Almighty God Grant you the eternal Peace
 
Back
Top Bottom