mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
nimesoma post yake mungu alionesha kifo chake zamaaaani. alikuwa na mchumba katika hatua za kufunga ndoa mamamzazi wa mwanaume akawa anapinga akidai kuwa kila akimuomba mungu kwaajili ya suala hilo aliona Giza! pia mama huyo alisema kuwa kama wataoana miaka mitatu ijayo ndoa yao itakuwa imevunjika. RIP kanjunju dada etu mungu alionesha