Tanzia: Msanii wa kundi la Jagwa Music Jack Simela afariki

Tangulia Dogo Jack Simela msalimie Baba Jay, Oscar Mkoba ...
Alipofariki Oscar Mkoba walimuimbia bonge moja la jisongi.
Naipenda sana Oscar Mkoba, ngoma ya huzuni ila inaonyesha ni jinsi gani wao waliguswa na kuondokewa kwa mshkaji wao.
Hata walipokuwa kwenye project ya wahapa hapa walifanya ngoma kali sana inaitwa Mwana wa Kitwana, pini sana hili.
Jagwa imepotea sasa kama upepo, sidhani kama itasimama tena.
 
Mkuu mnanda ndio umeenda kaka maana ktk waimbaji huyu Jaq Simera ndio aliyekuwa amebaki hii inauma sana
Kweli Mkuu inauma sana talent ya ukweli imetoa....sad jamaa amekufa bila kupata recognition anayodeserve.

Inaonesha fika kua kwa hapa Tanganyika ishu sio talent ishu ni kua redio ngapi zinakujua utaskika tu hata kama unaimba makapi..

Sadly aina za wasanii wanaopata kusikika ni aina ya AMBA TYPE yani kama amba gigi mane na amba lulu amba ruti na amba wengineo......
 
Nilishindwa kumuelewa Majizo kwa nguvu kubwa anayotumia kuinyanyua Singeri angekuwa na akili ya kuona mbali angeweka mnanda vijana wa zamani wote tungekuwa Efm lkn unahangaika na Copy ya mnanda wkt wenye mnanda wao wapo
 
Alipofariki Oscar Mkoba walimuimbia bonge moja la jisongi.
Naipenda sana Oscar Mkoba, ngoma ya huzuni ila inaonyesha ni jinsi gani wao waliguswa na kuondokewa kwa mshkaji wao.
Hata walipokuwa kwenye project ya wahapa hapa walifanya ngoma kali sana inaitwa Mwana wa Kitwana, pini sana hili.
Jagwa imepotea sasa kama upepo, sidhani kama itasimama tena.
Oscar Mkoba alikuwa ni msanii wa Jagwa ?

Mi nilikuwa najua alikuwa mshabiki wao tu
 
mie ndo namskia leo..labda kwavile sipend hiyo miziki
Huo ndo mziki pekee wakitanzania original,sema tunaujua sie wazawa wa huku uswahilini.Wale wakuja,wamkoani na waliokulia ushuani ngumu kuujua huu muziki wa mnanda na harakati zake.Sie waswahili tunaupenda mziki wetu.

Sometimes unabadilisha ladha na kusikiliza vitu tafauti na vile ulivyovizoea,mfano sikiliza huo wimbo wa mwana wa kitwana nlioupost humu,mbona uko vizuri tu tena romantic.
 
Kweli Mkuu inauma sana talent ya ukweli imetoa....sad jamaa amekufa bila kupata recognition anayodeserve.

Inaonesha fika kua kwa hapa Tanganyika ishu sio talent ishu ni kua redio ngapi zinakujua utaskika tu hata kama unaimba makapi..

Sadly aina za wasanii wanaopata kusikika ni aina ya AMBA TYPE yani kama amba gigi mane na amba lulu amba ruti na amba wengineo......
Mm nashangaaga watu wanajazana kumuona Diamond akiimba kwa playback wakati kuna watu wanapiga madude live kabisa cha kusitisha jamii haiwapi heshima wanayostahili
 
Huwaga nashindwa kuelewa yani mtu unaenda kwenye show ya bongo fleva? Si bora uende kwenye bendi wanazopiga nyimbo za watu atleast u can dance mwanzo mwisho?

Kuliko kule playback wanakata kata unasikia yo yo yo piga keleee ...dj dj djjj ngoja kwanzaaa

Oyaa niendelee nisiendeleee...**** mako tumelipa ela zetu unatuuliza uendelee.

Ujinga sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom