witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,103
Halafu mrembo wake kafanana na yule mrembo wa kwenye nyimbo What you know about dat ya TI.Jana baada ya tukio celebrities wengi weusi walikuwa wakiandika kwenye insta page ya GF wake wakimpa pole na kumuomba awe strong. Wana mtoto mmoja na mrembo ni mrembo hasa na walikuwa wakipendana sana.
Huyu mrembo si wa kwenye what you know about dat ya TI????
Tofautisha nchi na rais... Ukigusa interest za nchi huchukui siku unauwawa...Snop dog kila siku anaimba nyimbo za kumtukana Trump na kwenda kuvuta bangi karibu na WH.Kwa nini yeye asipigwe risasi kama issue ni kuikosoa serikali tu unauawa?...Inaonyesha akili yako bado mfu sana.
Nilikuwa nahofia nisije onekana nipo peke yangu! Kiukweli huyu binti ni mrembo mnoooo.
Sikiliza...wewe kwako wa kawaida lakini siku zote wengi wape...almost watu wote waliobahatika kumuona Lauren London wanakiri ni mrembo tena mrembo hasa...Mimi sijawahi muona live namuona Snapchat nakiri ni kisu, so labda we peke yako
Kufananisha RnB na Hiphop ni sawa na kumfananisha Roma(wa kipindi kile kabla hajaminywa kende) na JuxRip Nipsey. Najiuliza sana kwanini wasanii wengi wa hiphop wanauwawa kwa bunduki?! Huwezi sikia wasanii wa RNB, Pop nk wamepigwa risasi ila mostly ni wanahiphop.
Nikupe ngoma za jay wakati album zake unazo. Wewe ni mzima kweli ?Lete ngoma hizo,hapo Sasa ndo umeingia kwenye mdomo wa Chatu najua hip-hop ndani nje,huniambii chochote kuhusu newyork rap,lete nyimbo hizo maana album zote za Jay z ninazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote wewe, watu kama nyie ndiyo mnakuja kuangukia kundi moja na Ben KinyaiyaYap,I am telling you the truth
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kufeki matukio au za kuliwa jicho ?Akili za Jussie Smollet.
Chanzo cha taarifa hii ni kusikilizana kusoma udakuAlfredo Bowman ( Dr Sebi ) kawajambisha sana wazungu!
Michael Jackson alikuwa for long decades anatumia painkillers za wazungu kuzuia yale maumivu aliyoungua 1984 kwa tangazo la Pepsi....alivyomjua huyu mzee akaenda Honduras kutibiwa!
Mzee akampa mitishamba kibao iliyokwenda shule MJ akapona mpaka bipolar, Insomnia!
Basi wazungu wakaona biashara yao ya madawa huyu mzee anaitia gundu coz watu wengi America hasa blacks celebs walikuwa na ngoma na mzee anawatibu, mpaka wazungu kina Steve Seagal, Pierce Brosnan wameponeshwa na huyu babu!
Wazungu ( system) wakamfyekelea mbali kwa kumrushia gonjwa akiwa jail...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakataa huyo jamaa...wachambuzi wa masuala ya uzuri first class US wanamwita mrembo hasa, we ni nani hadi ubishe haa haaNilikuwa nahofia nisije onekana nipo peke yangu! Kiukweli huyu binti ni mrembo mnoooo.
Wewe unaonaje ?Kwamba wabongo yaani watanzania hawana akili?
Udaku upi? Unaujua udaku wewe?Chanzo cha taarifa hii ni kusikilizana kusoma udaku
Ahaaaaaahaaaaaaa...nimemwambia demu wake anamzidi Lauren eti hana demu huuhuuHuna lolote wewe, watu kama nyie ndiyo mnakuja kuangukia kundi moja na Ben Kinyaiya
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.
Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr. Sebi ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu UKIMWI, Kansa na Kisukari kwa kutumia dawa za mimea. Dr.Sebi alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa hawa C.I.A. Alale panapostahili
View attachment 1059881
Sent using Jamii Forums mobile app