TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
4,551
Points
2,000

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
4,551 2,000
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.

Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr. Sebi ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu UKIMWI, Kansa na Kisukari kwa kutumia dawa za mimea. Dr.Sebi alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa hawa C.I.A. Alale panapostahili
Screenshot_20190401-093821~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

kenna

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
2,073
Points
2,000

kenna

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
2,073 2,000
Yani wewe unamuita Mayweather ana nini ??? Hahaha yani wewe fukara na masikini usiejua kesho yako unapata wapi ujasiri wa kumuita hivyo mayweather.Kiswahili chenyewe hujui eti :

Wasiohitambua
Wasioitambua

Sasa kama lugha yako ya taifa ilunashindwa kuimudu utaweza kumudu kujibu hoja nzito unazotupiwa humu jamvini. Halafu mpaka hapa nimeshajua najibishana na kichwa maandazi "Watermelon Head " asiejielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mshamba usiejijua , wewe unashindwa kujua kua hizo ni typing error , hata kama ni lofa, sijilambi kwa wazungu na utajiri wa mtu asiejitambua kua yeye ni nani ? Haunisumbui na ni zaidi ya ulofa , kitumbua wahead.
 

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
11,228
Points
2,000

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
11,228 2,000
Nani kakwbia Black Americans wanajiita WAafrica.. Wewe unaekaa kwa mtogole unakuja na uongo... Kwa taarifa yako hakuna watu ambayo hawataki uwaambie ni waafrica kama black Americans. Ninawajua vilivyo.


Huyu ni Mayweathe akisema yeye ni black america na sio African


Sent using Jamii Forums mobile app
Na wengi hawawapendi waafrika.
 

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
41,847
Points
2,000

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
41,847 2,000

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,496
Points
2,000

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,496 2,000
Nani kakwbia Black Americans wanajiita WAafrica.. Wewe unaekaa kwa mtogole unakuja na uongo... Kwa taarifa yako hakuna watu ambayo hawataki uwaambie ni waafrica kama black Americans. Ninawajua vilivyo.


Huyu ni Mayweathe akisema yeye ni black america na sio African


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Kenna anakurupuka sana,
Hata mcheza tennis binti wa Williams aliwahi sema kuhusu kuolewa na mwafrika,
Kifupi hawa jamaa wanapigania umarekani kuliko uafrika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,496
Points
2,000

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,496 2,000
Wewe ndio mshamba usiejijua , wewe unashindwa kujua kua hizo ni typing error , hata kama ni lofa, sijilambi kwa wazungu na utajiri wa mtu asiejitambua kua yeye ni nani ? Haunisumbui na ni zaidi ya ulofa , kitumbua wahead.
Anza kuvaa ngozi acha kuvaa jeans,
Acha kutumia simu na kusafiri kwa magari ndo tutaona wewe kidume haujilambishi,
Halafu ulivyo mdogo wa Barshite,unasema haujikombi kwa wazungu lkn unaandika kiingereza,
Acha uzuzumaji,kukosoa mabaya yetu siyo kutopenda asili yetu,
Siyo kujikomba kwa wazungu
Ni kipimo cha jinsi gani tunakerwa na wanaouaibisha uafrika,
Ww unajidai kuwapenda black amerika wakati wengi wao hawaichukulii afrika km kwao,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
1,757
Points
2,000

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
1,757 2,000
Unajua ni muda gani umepita tangu aliposhinda kesi hadi kifo chake akiwa gerezani kwa mashitaka ya kutakatisha fedha?
Unajua kuwa alishawahi kumtibia Michael Jackson?
Najua alishawa mtibia jacko pia left eye lopez.
Yeye anasema km bibble ilivyoandika kuwa mimea ndio dawa na sio haya ya hospital. Anasema a good health menu hutaumwa ugonjwa wowote duniani.
Leo nimeanza diet yake ya kusafisha mwili kwa siku 40. Nitawaletea mrejesho. The guy was genious ....ingawa hakwenda skul

Sent using Jamii Forums mobile app
 

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
1,757
Points
2,000

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
1,757 2,000
Snop dog kila siku anaimba nyimbo za kumtukana Trump na kwenda kuvuta bangi karibu na WH.Kwa nini yeye asipigwe risasi kama issue ni kuikosoa serikali tu unauawa?...Inaonyesha akili yako bado mfu sana.
Huyo hajakosoa serikali. Huyo kamtukana trump. Mwambie aimbe mambo ya kuwaunganisha watu weusi na ukatili wa polisi kwa weusi wenzao...mwambie awaamshe weusi wenzaku kuhusu kuwa the 2nd citizen kwenye nchi ambayo wameijemga wao kwa kufanyishwa kazi za utumwa. Mwambie awaashe kuwa concious na sio kuimba kuhusu pombe....uone km atakaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kenna

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
2,073
Points
2,000

kenna

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
2,073 2,000
Anza kuvaa ngozi acha kuvaa jeans,
Acha kutumia simu na kusafiri kwa magari ndo tutaona wewe kidume haujilambishi,
Halafu ulivyo mdogo wa Barshite,unasema haujikombi kwa wazungu lkn unaandika kiingereza,
Acha uzuzumaji,kukosoa mabaya yetu siyo kutopenda asili yetu,
Siyo kujikomba kwa wazungu
Ni kipimo cha jinsi gani tunakerwa na wanaouaibisha uafrika,
Ww unajidai kuwapenda black amerika wakati wengi wao hawaichukulii afrika km kwao,

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana we pimbi usiyejitambua , unatumika bila kujifahamu, anza kusoma a e i o u, wakati wenzio wanasoma ulikua unacheza katata tatu pole yako.
 

Forum statistics

Threads 1,343,650
Members 515,111
Posts 32,792,400
Top