TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Screenshot_20190402-082322.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app

BAK
 
Maara tu baada ya kutangaza kutaka kuandaa documentary ya Dr. Sebi watu walianza kumuonea huruma Nipsey husle kwamba anachokoza makampuni ya madawa na kwamba atamalizwa, na kweli, juzi tu wamemuua, je, hii inaashiria hiyo dawa ipo kweli?
 
Jana baada ya tukio celebrities wengi weusi walikuwa wakiandika kwenye insta page ya GF wake wakimpa pole na kumuomba awe strong. Wana mtoto mmoja na mrembo ni mrembo hasa na walikuwa wakipendana sana.
Halafu mrembo wake kafanana na yule mrembo wa kwenye nyimbo What you know about dat ya TI.
 
Snop dog kila siku anaimba nyimbo za kumtukana Trump na kwenda kuvuta bangi karibu na WH.Kwa nini yeye asipigwe risasi kama issue ni kuikosoa serikali tu unauawa?...Inaonyesha akili yako bado mfu sana.
Tofautisha nchi na rais... Ukigusa interest za nchi huchukui siku unauwawa...

Ukimtukana rais kama Trump hujagusa maslai ya nchi
 
Alfredo Bowman ( Dr Sebi ) kawajambisha sana wazungu!

Michael Jackson alikuwa for long decades anatumia painkillers za wazungu kuzuia yale maumivu aliyoungua 1984 kwa tangazo la Pepsi....alivyomjua huyu mzee akaenda Honduras kutibiwa!

Mzee akampa mitishamba kibao iliyokwenda shule MJ akapona mpaka bipolar, Insomnia!

Basi wazungu wakaona biashara yao ya madawa huyu mzee anaitia gundu coz watu wengi America hasa blacks celebs walikuwa na ngoma na mzee anawatibu, mpaka wazungu kina Steve Seagal, Pierce Brosnan wameponeshwa na huyu babu!

Wazungu ( system) wakamfyekelea mbali kwa kumrushia gonjwa akiwa jail...

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha taarifa hii ni kusikilizana kusoma udaku
 
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.

Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr. Sebi ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu UKIMWI, Kansa na Kisukari kwa kutumia dawa za mimea. Dr.Sebi alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa hawa C.I.A. Alale panapostahili
View attachment 1059881

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_2827.JPG
IMG_2829.JPG


Mwana JF Deception ameandika sana kuhusu hii topic ya HIV/AIDS

Ukweli una tabia ya kunuka!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom