TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Duh.. ? Kwanini wasingemyanganya hizo dawa ili wapige manoti, na ilikuwa anatoa Documentary sio dawa au documentary ingesema dawa ....?,

Hizi conspiracy theories bila facts hazina tofauti na hadithi za Sungura na Fisi....
Halafu unakuta uzushi kama huu kuna mtu kakomaa anawasimulia wenzake kijiweni.
 
Wengi wanadai kauwawa kutokana na hii documentary. Sijui kama kuna mwingine atagusa hii Documentary ya Dr Sebi kwa kuhofia kuuawa. Inadaiwa Dr Sebi aligundua dawa ya UKIMWI lakini akafariki katika mazingira yaliyojaa utata.
Hakuna utata wowote. Sema mitandao ina taarifa nyingi zisizo sahihi
 
Wengi wanadai kauwawa kutokana na hii documentary. Sijui kama kuna mwingine atagusa hii Documentary ya Dr Sebi kwa kuhofia kuuawa. Inadaiwa Dr Sebi aligundua dawa ya UKIMWI lakini akafariki katika mazingira yaliyojaa utata.
Duh kagusa maslahi ya watu naona

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watu sio wazuri daaah... RIP NIPSEY HUSSLE

Sent from my iPhone 5s using JamiiForums mobile App
 
I don’t write anything here without doing a little bit of research Mkuu

Halafu unakuta uzushi kama huu kuna mtu kakomaa anawasimulia wenzake kijiweni.
 
kwanini asiendeleze hizo Dawa za mitishamba za kuuondoa kabisa UKIMWI kuliko kutengeneza Documentary ya Mauaji ya Dr Sebi
uanajua wenzetu vitu vyote vipo katika maandishi tofauti na sisi tunaoruka na ungo bila kuuhifadhi huu utaalam
 
Ngozi nyeusi akili kisoda.
 
Jay Z ngoma zake nyingi anawaponda blacks wenzake kwamba waache kulalamika kama mnavyolalamika nyinyi huku bongo.

Chukueni hatua punguze malalamiko.
Lete ngoma hizo,hapo Sasa ndo umeingia kwenye mdomo wa Chatu najua hip-hop ndani nje,huniambii chochote kuhusu newyork rap,lete nyimbo hizo maana album zote za Jay z ninazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanadai kauwawa kutokana na hii documentary. Sijui kama kuna mwingine atagusa hii Documentary ya Dr Sebi kwa kuhofia kuuawa. Inadaiwa Dr Sebi aligundua dawa ya UKIMWI lakini akafariki katika mazingira yaliyojaa utata.
nasikia Nick Cannon kasema yu tayari kuifadhili imaliziwe
 
Back
Top Bottom