Kila mwanadamu ni mdhambi, usimhukumu mtu usije ukahakumiwa, kila dhambi inasamehewa na Mungu kama utaitubu na kuiacha, dhambi isiyosamehewa ni kumkufuru roho mtakatifu...
TUSIMHUKUMU, MUNGU NDIYE ATAMHUKUMU.. R.i.p kamanda kombe... Mungu akurehemu.
Mmmmh... nilidhani yule Kombe mwenye kesi ya mauaji!
Mungu ni boss wa wote, hapa ndipo Pilisi wajue kwamba, iko siku watakufa, maana wamejisahay mno Rip Kombe"... waache wafu wawazike wafu wenzao..."
niliposoma tu huu uzi wa Kifo cha Kombe, hii ndio picha iliyoniingia akilini. Kamanda miezi michache kabla ya kustaffu kwake. Just died at early Sixties!Alikuwa anaingia field kabisa........hapa ni pale junction ya Kenyatta.....hu ho haaa (kung-fu)
![]()
maskin weee! siku za Udika Mremi (Dar Express) zinahesabika sasaMbona wanakufa wazalendo wengi vijijini na haitangazwi?Huyu nae ni wa kawaida tu kwani kila nafsi itaonja mauti.Aliwaibia sana watanganyika kwa kula na kupokea rushwa.