TANZIA: Kamanda James Kombe afariki dunia

TANZIA: Kamanda James Kombe afariki dunia

Kwa kweli ni mapema sana wakuu. Ngoja niishie hapo tu nisije nikakufuru, maana MUNGU huyu kama haoni watu wa kuchukua mapema!! Mzee huyu kazi alikuwa anaimudu. Huyu si ndo alikuwa mkuu wa operesheni pale makao makuu ya polisi? Mzee aliendesha operesheni kali sana kwenye mapori ya Geita, Bi'muro, Kibondo na Kasulu huku yeye mwenyewe akiwa msitari wa mbele. Pia baada ya kustaafu alipata shavu pale TANAPA kama mkuu wa operesheni, majangili walikiona cha mtema kuni! Poleni wafiwa, pole TANZANIA. Tumempoteza shujaa!!

Duhh!ama kweli hii ni kama jamaa aliyekwenda msibani akaanza kuangua kilio huku akidai marehenu walisoma wote.Kumbe aliyefariki ni mtoto wa mwaka mmoja!
 
MYSRIH(may your soul roast in hell) mshirika wa majambazi!ulitanguliza sana pesa kuliko usalama wa raia na mali zao.,kudadadek.

Hujui utendalo,Mungu akusamehe.Sisi mida hii ndio tupo ibadani ktk kumpuzisha kwenye nyumba yake yamilele.Amina,RIP KAMANDA.
 
Hivi kwa nini serikali iendeleee kubeba shutuma za mauaji ya Mwangosi pasipo kuchukua hatua kwa wauaji.

Wafiwa poleni.
 
Back
Top Bottom