mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
maskin kombe R.I.P. mbona mapema au kakosa posho za kila siku ndio kaded
umekosea kidogo mkuu, aliyekuwa RPC wakati ule alikuwa ni Basilio Matei.
Kamanda Kombe namkumbuka kwa tukio la uchaguzi mkuu wa 2020. .....
RIP Kamanda KOMBE.
Nitakukumbuka kwa jinsi ulivyofanya kazi kwa uadilifu mkubwa.
Nakumbuka kipindi akiwa RPC Arusha nilikuwa na tatizo la umiliki wa shamba maeneo ya USA mkuu wa kituo cha Polisi USA wakati huo alikuwa Msangi sasa hivi ni RCO wa Dar.Mvamizi alikuwa mwanamke wakati huo huo alikuwa kimada wa Msangi kila nikipeleka malalamiko hakuna kinachofanyika nikaamua kumwona RPC baada ya kumweleza tatizo langu alimwita Msangi mbele yangu akamgombeza kama house boy wake kisha akamwamuru afungue jalada upya na apeleke kesi mahakamani.
Pumzika kwa amani kamanda Kombe.
ni yule aliyewahi kuwa RPC Arusha?kama ni yeye alisaidia sana kupunguza ujambazi arusha,Rip bwana komandoo.
Ooooooooop,what news is this?mimi nilijua Kamuhanda kumbe Kamanda Kombe,R.I.P kamanda.
RIP Kamanda KOMBE.
Nitakukumbuka kwa jinsi ulivyofanya kazi kwa uadilifu mkubwa.
Nakumbuka kipindi akiwa RPC Arusha nilikuwa na tatizo la umiliki wa shamba maeneo ya USA mkuu wa kituo cha Polisi USA wakati huo alikuwa Msangi sasa hivi ni RCO wa Dar.Mvamizi alikuwa mwanamke wakati huo huo alikuwa kimada wa Msangi kila nikipeleka malalamiko hakuna kinachofanyika nikaamua kumwona RPC baada ya kumweleza tatizo langu alimwita Msangi mbele yangu akamgombeza kama house boy wake kisha akamwamuru afungue jalada upya na apeleke kesi mahakamani.
Pumzika kwa amani kamanda Kombe.
Pumzika kwa amani kamanda Kombe.Kwa kweli kazi yako uliimudu sana.Hata kama ulikuwa na mapungufu ni ya kibinadamu.Nakumbuka Serengeti uliendesha operation kali sana mpaka ukamnasa Jambazi hatari sana(Isengere) aliyeua mlinzi wako.Pole sana Dada Eva.
Unapotoa post tafakari usikurupuke tu,hadhi yamabasi ya Dar ex niyakubebwa kweli?Au unamaanisha ilikuwa nikapuni ya Kamanda Kombe!Naweka wazi kuwa mmiliki wa Dar ex na Kombe nindugu na Mmiliki huyu hakutegemea kabisa nafasi ya Kombe ili kuendesha Kampuni yake hili nakuhakikishia mimi.