Wenye roho mbaya huwa hawafi ovyo
Adha ya kustaafu mkuu. Alijaribu ubunge ccm akapigwa chini.niliposoma tu huu uzi wa Kifo cha Kombe, hii ndio picha iliyoniingia akilini. Kamanda miezi michache kabla ya kustaffu kwake. Just died at early Sixties!
maskin weee! siku za Udika Mremi (Dar Express) zinahesabika sasa
Mabasi yote yenye Chasis za malori aliyapiga marufuku kubeba abiria, naona hapo ndipo Mabasi ya Marcopolo (Scania) toka Brazil yalipopata soko NchiniAlikuwa anaingia field kabisa........hapa ni pale junction ya Kenyatta.....hu ho haaa (kung-fu)
![]()
Hapo jamaa yangu umesema kweli kabisa, Mremi wa Dar Express kaamza zamani sana hata kamanda hajafikia OCD Dodoma, labda angeshamzogezea hata kausafiri binafsi. Bado sijamuona huyu kamanda na usafiri binafsi,Unapotoa post tafakari usikurupuke tu,hadhi yamabasi ya Dar ex niyakubebwa kweli?Au unamaanisha ilikuwa nikapuni ya Kamanda Kombe!Naweka wazi kuwa mmiliki wa Dar ex na Kombe nindugu na Mmiliki huyu hakutegemea kabisa nafasi ya Kombe ili kuendesha Kampuni yake hili nakuhakikishia mimi.
Kamanda Kombe namkumbuka kwa tukio la uchaguzi mkuu wa 2020. Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha alikuwa anasuasua kumtangaza mshindi wa Ubunge wa Arusha Mjini kati ya Baltida Buriani na Godbless Lema wakati wananchi wameshajua mshindi na wako Ofisi ya Manispaa tangu mapema asubuhi baada ya uchaguzi. Nakumbuka wananchi walikuwa wakiimba nyimbo za kushinikiza mshindi atangazwe, FFU, 'washawasha' na Polisi wakiwa wametanda eneo hilo.
Kamanda Kombe alipoona Mkurugenzi anajizungusha kutangaza matokeo, alimwambia Mkurugenzi kuwa ifikapo saa kumi atawaondoa Maaskari wake waliokuwa wanalinda amani, ndipo Mkurugenzi akasalimu amri na kumtangaza Godbless Lema kuwa mshindi.