My condolence.
ram, Mungu akupe faraja ya kweli na ya kudumu. Ukitoka Singida masaa 3 uko A-town.
Asante charminglady kwa taarifa elekezi na isiyopinda.
Uko njema sana kwa Logistico!
ni masikitiko yangu kuwa kwa sasa nipo shinyanga na ninaumwa typhoid bila shaka ningekuwa mstari wa mbele kabisa kuhakikisha natoa ushirikiano kwa mwenzetu. charminglady pamoja sana mkuu wangu.pia natoa pole kwa wafiwa akiwemo ram
Mkuu... Mbona huu uzi ni wa kutambo sana??? hukuwahi kuuona??
Sikuuuona mkuu. miaMkuu... Mbona huu uzi ni wa kutambo sana??? hukuwahi kuuona??
Nmeamka salama. vipi wewe dada yangu? Nakutakia mchana mwema. miaUmeamkaje mdogo wangu?