CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za asubuhi mabibi na mabwana...
Kwa majonzi mazito saaana nasikitika kuwataarifu kuwa Mwana Wing mwenzetu Dada ram
amefiwa na bibi yake.
Msiba huo umetokea Mkoani Singida na sasa hivi dada ram anajiandaa kwa safari kuelekea Singida... Tumuombee Mwenyezi Mungu awe naye katika safari na pia amfariji katika kipindi kigumu kama hiki...
Wadau wa Singida mnaweza kuwasiliana naye mkampa pole na kumfariji... Mkuu Slave, Evelyn Salt na wengineo.
Nasi hapa jukwaani tuungane kwa pamoja kumpa pole na kumfariji kwa msiba huu....
"Bwana alitoa na Bwana ametwaa
jina lake lihimidiwe"
Habari ziwafikie WanaJF wote
walioko Jijini Mwanza na nje ya
Mwanza, wana Rock City Wing wote.
C.C. Mwenyekiti JF Rock City Wing Rock City, wajumbe Elizabeth Dominic, ThinkPad, TrueLove, Home First, kandukamo1 ......

Last edited by a moderator: