TANZIA: JF Rock City Wing

TANZIA: JF Rock City Wing

Dunia ni mpenzi mdanganyifu siku moja lazima atakuacha,kifo ndiyo mpenzi wa kweli atakwenda pamoja nawe milele.pole sana Ram
 
  • Thanks
Reactions: ram
Pole sana ram kwa msiba..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Pole Sana ram, Mungu awape faraja ya pekee katika wakati huu wa majonzi
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Huu msiba ulitokea mwaka jana November, nilifiwa na mdogo wangu after two weeks nikafiwa na bibi, so tunamshukuru Mungu kwa kila jambo, hsante sana

aisee, wajua nilisoma bila kuangalia tarehe!! All in all pole!!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Pole sana ram Mungu akutie nguvu ya kuhimili kipindi hiki kigumu. Amen
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
hicho kichwa cha habari kimekaa ki-global publisher, yote ya yote tupo pamoja
 
Ingiwa ilikuwa kitambo lakini sitosita kusema - Pole sana
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom