Tanzia: Balozi Jaka Mwambi amefariki dunia leo

Tanzia: Balozi Jaka Mwambi amefariki dunia leo

Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.

Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
"Amekosa malezi ya pande mbili" umeandika neno kali sana!
 
Jaka Mwambi (JK) amefariki leo tarehe 8/12/2019

Jaka Mwambi (JK) Jakaya Kikweke (JK) na Yusuph Makamba hawa ni marafiki wakubwa toka wakiwa jeshini miaka 1970

Hawa ni baadhi ya vijana wa enzi hizo toka Tanu Youth League ambao walipikwa wakaiva na Hayati Mwl JK Nyerere.

Jaka Mwambi,Jakaya Kikwete,Edward Lowassa, Daniel Ole Njolay, Capt Mstaafu John Mkuchika, Anna Makinda, Zakhia Meghi, Samwel Sitta,Yusuph Makamba na wengineo wengi sana

Poleni sana familia ya Jaka Mwambi (JK) kwa msiba mzito ambao mmeupata. Pia pole sana Jakaya Kikweke kwa msiba mzito wa rafiki yako mkubwa Jaka Mwambi.

Heri wafu wafao katika Bwana naam na wapate kupumzika baada ya taabu zao: Ufunuo 14:13

Alex Fredrick
 
Unajua malezi au unasikia, huo unafiki wenu wa kisifia kila upumbavu kwa kivuli cha malezi mimi haupo kichwani mwangu kabisa
Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.

Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
 
Rumors has it kisa cha kutolewa Mkoa wa Rukwa akabadilishana na Mkuchika aliyekuaTanga alipigwa Kamati moja matata. Marehemu alikua na utemi wa kindezi sana enzi akiwa RC Rukwa. Anyway, A.PE.PE.
 
Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.

Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
akisemwa vizuri ndio anasamehewa dhambi zake?..
Huyo Mungu wa kuhadaiwa ni huyuhuyu wetu sote?...
 
RIP Jaka
Ila hilo la kupikwa wakaiva naomba tu tuliache, maana linahitaji mjadala mrefu na hapa sio mahali pake.
 
sasa hivi nimenunua noti buku kwa ajili ya kuandika shughuli zenye ubwabwa tu, ni katika ku sevu chapaa. Naomba wadau tujuzane ili tusimisi..[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Habarini za sikukuu.... Nimepata habari kwamba balozi wangu wakati nasoma soviet mstaafu ndg Jacka Mwambi amefariki dunia....mwenye habari kamili tafadhari naomba taarifa zaidi.
 
December huwa inaondoka na wana kimaskhara sana. Yaani kimaskhara tu mzee ameng'ata shuka....
Apumzike kwa amani Balozi
 
Rest easy jaka mwambi aliwahi kuwa mkuu Wa mkoa mbeya nadhani
 
Back
Top Bottom