Mwanaume mmoja akutwa amefariki Kawe-Dar es Salaam

Atukuzwaye

Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
98
Reaction score
89
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Binyampola amekutwa amefariki dunia katika eneo la Kawe Mzimuni, Dar es salaam, huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijajulikana.

AyoTV imefika eneo la tukio na kuzungumza na Mashuhuda, ambapo mmoja wao amesema Marehemu alifika katika ofisi yake usiku wa kuamkia leo, hivyo anashangazwa na taarifa za kukutwa kwake akiwa amefariki dunia katika eneo hilo.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Kawe Mzimuni, Raiyah Nassoro alipigiwa simu na Wajumbe wa eneo hilo na kupewa taarifa kuhusu mwili huo, ndipo alipowasiliana na Jeshi la Polisi na baadaye kufika eneo la tukio na kuthibitisha kuwa Mtu huyo alikuwa amefariki.
 
View attachment 3685900
Haya maelezo ya huyu jamaa aliyeanza kuhojiwa mbona hayajielezi wala hayajitambulishi?
 
Ndiyo imeenda hiyo, nimeshtuka miladi hayo kureport hizi habari huwaga hapendi. Tushamtumia mfanyakazi wake ndugu yetu alipobebwa na CCTV videos akazilia buyu
 
Back
Top Bottom