Tanzia: Balozi Jaka Mwambi amefariki dunia leo

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
2,718
Points
2,000

rushanju

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
2,718 2,000
Niko kwenye msiba hapa nyumbani kwa barozi mstaafu mzee wetu Bw. Jack Mwambi ambaye ametutoka muda so mrefu
===
Jaka Mgwabi Mwambi ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Tanzania. Mwambi alikuwa Kamishna wa zamani wa Mkoa wa Rukwa, Mkoa wa Tanga na Mkoa wa Iringa na alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi cha Chama Cha Mapinduzi, hadi alibadilishwa na George Mkuchika, Mwanachama wa Bunge kutoka wilaya ya Newala, Novemba 2007.

Mwambi aliteuliwa kama Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Shirikisho la Urusi, na aliwasilisha sifa zake kwa Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi mnamo tarehe 24 Julai 2008, na kwa Rais Dmitry Medvedev mnamo 18 Septemba 2008
 
Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
2,738
Points
2,000

Deceiver

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
2,738 2,000
Huyu jamaa aliwahi pokea Ada za wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine na Urusi akazila, wanafunzi wakafukuzwa hostel na serikali ikaamua kuwarudisha watoto wa watu wakiwa wameshapoteza wengine miaka miwili Hadi mitatu
Muda huu huu alikua anajieleza kuhusu huo ujinga. Yuko selo moja na yule jamaa aliyekua usalama yule mtoa kucha. Chumba kimejaa siafu, mbu na kunguni
 
Bu'yaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
1,176
Points
2,000

Bu'yaka

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
1,176 2,000
Huyu jamaa aliwahi pokea Ada za wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine na Urusi akazila, wanafunzi wakafukuzwa hostel na serikali ikaamua kuwarudisha watoto wa watu wakiwa wameshapoteza wengine miaka miwili Hadi mitatu
Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.

Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
 
Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
16,545
Points
2,000

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
16,545 2,000
Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.

Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Alikufaga kibaka tulipika na ubwabwa tukakesha na kigodoro marehemu hasemwi hiyo vibaya veeeepe.......
 
Forum statistics

Threads 1,390,223
Members 528,114
Posts 34,046,400
Top