TANZIA: Aliyekuwa mpinzani mkuu wa Dkt. Remmy Ongala katika Shindano la Sura Mbaya enzi hizo, 'Masuod Surambaya' afariki

Rip Masoud nakumbuka Baada ya Kushinda Sura mbaya Remmy alilalamika sana sana alipendelewa hakuwa na sura mbaya kama yake ila yeye Masoud ni mlemavu.
 
Back
Top Bottom