TANZIA: Aliyekuwa mpinzani mkuu wa Dkt. Remmy Ongala katika Shindano la Sura Mbaya enzi hizo, 'Masuod Surambaya' afariki

Unamkumbuka jamaa aitwaye Masoud Sura Mbaya? Yule mshindi wa shindano la Sura Mbaya aliyemshinda vibaya marehemu Remmy Ongala? Jamaa amerudisha mpira kwa kipa! Rest in Peace Masoud! Ulijivunia vile ulivyoumbwa! Mwenye taarifa zaidi tafadhali!
11.JPG
 
Back
Top Bottom