TANZIA: Aliyekuwa mpinzani mkuu wa Dkt. Remmy Ongala katika Shindano la Sura Mbaya enzi hizo, 'Masuod Surambaya' afariki

Lile shindano lilikuwa la Dar mana watu kutoka mikoani wasingeweza kusafiri,haisee kuna sura mbovu huko kanda ya ziwa masoud mrembo

Sent using Jamii Forums mobile app
...Mkuu, ninakumbuka haya Dr Remmy alisema hivyo hivyo wakati akikata rufaa kwa kunyimwa Ushindi kwenye mpambano ule eti kwa sababu mpinzani wake Masoud alikuwa ni Mrembo tu kulinganishwa na yeye...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ilitoka kwenye front page kama sijakosea Majira " MWENYE SURA MBAYA ANAPOCHEKA" alionekana kuwa kitisho😂
 
kipindi hicho masoud alikuwa bado kijana mdogo sana kuzidi washindani wake....sijui alivyozeeka sita ilikuaje
 
Back
Top Bottom