Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
In other words, does Tanzania have 'Counter-Espionage' unit? Or, which unit is responsible to counter economic espionage, for instance? Or as long as the president is safe, no more duties for them?
...jukumu lako kama raia ulitakiwa kuripoti hilo haraka iwezekanavyo wahusika wachukuliwe hatua, informers pia wapo kwenye 'payroll'. 🙂
Heko Mosquito! Watu wanawalaumu UWT bila kuwapa msaada wa habari na kisa kuanza kulalama kwamba vitu havifanyiki. Pia si lazima unapotoa taarifa za kitu chochote ukatarajia kupata zawadi. Nguvu ya UWT yoyote duniani ni habari wala sio maguvu aidha na uwezo wa serikali iliyopo madarakani kutekeleza mapendekezo yao. Je kwetu haya yanafanyika? Wananchi wenye nchi yao wanawasaidia watu hawa kwa kuwapa habari? Serikali ya JK inawasikiliza? Je UWT wanawasomesha vijana wao elimu dunia (taaluma) ili ushauri wao uwe makini ktk fani husika na sio blabla? Tuendelee kuchangia
Nakubaliana na wewe kabisa nchi hii iko kwenye autopilot the so called president yuko bize sana na safari It seems anapenda sana kukaa nje ya nchi kwa nini tusimteue awe balozi wa maisha wa Amerika na Ulaya ?
Watu wanahasira na TISS kutakana na kutojulikana wanakazi ipi, wanafanyaje kazi, wako wapi (ndio sababu wanang'ang'ana na PSU kuliko TISS kwa ujumla wake), wanaajiri vipi. Lakini wahajui kuwa kazi (role) ya TISS kwa sekali ni ushauri tu. Ukiwa mshauri huwezi ku-implement unachofikiria kuwa ni muhimu. Aidha wanapoupuuzia ushauri kazi yako inakuwa ni namna ya kupunguza athaari ya kukataliwa kwa maamuzi yako. Plz someni sheria ya kuanzia TISS mtaona kazi yao
Dhumuni la hii thread ni nini hasa?
♫ ♪ Tanzania, Tanzania, ♫ ♪ ♬Kibanga Ampiga MKoloni: Huo uchumi huko wapi?
From the outset:Eqlypz: Dhumuni la hii thread ni nini hasa?
1. Does Tanzania have special unit for the protection of the President? (Presidential Protection Unit, PPU)?
Or is "Usalama wa Taifa" one big PPU?
2. Apart from PPU duties, does 'usalama wa taifa' have anything else THEY know they are supposed to be doing?
3. How do we gauge SUCCESS of those non-PPU duties?
Kwa hiyo Tanzania haina idara ya kufanya Ujasusi, kwa vile yote ni PPU?
True PointOK,
Do the "Usalama wa Taifa":
1. Read mikataba ya EAC?
2. If so, have they seen, read and understood the "Common Market Protocol"?
3. Don't they find it stiffling national security of Tanzania?
4. Don't they find it against the constitution?
5. Do they know they are the one's to stop dissolution of the Nation whose Security they are thought to be protecting?
6. What if the enemy of the nation's security is a Member of Parliament, Speaker, Ruling Party, Prime Minister or the President? Do they have any way of telling them that their decisions equal pressing the self-destruct button?
7. Do they see nation's security threat beyond PPU duties?