Tanzania's National Electoral Commission is toothless

Nadhani kama wa conscience itawabidi wajiuzuru na mioyo yapasa kuwauma maisha yao yote. Ni kama huyu Kivyuitu wa kenya!
 
Kwa kweli bila kuwa na katiba mpya upinzani kushinda chaguzi za nchi hii itakuwa ndoto. Haiingi akilini kusikia kuwa hata katika majimbo ambayo Chadema imeshinda utasikia kura za uraisi CCM inaongoza. Hii taafsiri yake ni nini? Ina maana hawa jamaa wana teknolojia ya hali ya juu sana na mbinu ambazo kwa akili ya Mtanzania yeyote hataweza kubaini aina ya uchakachuaji unafanyika.Ama kweli kidumu chama Chao!!!!!
 
Kwamba Tume hii ya uchaguzi (NEC) haina mamlaka kwa wasimamizi wake wa majimbo so jambo la siri. Tumeona jinsi Serikali ya CCM inavyowahamisha wakati wa kampeni bila ya sababu za msingi -- kama vile ilivyofanya kwa yule wa Arusha na sehemu nyingine moja. Transfer hizo zilikuwa na lengo la kuinufaisha CCM.

Kwa nini NEC haitoi tamko kukiri kwamba mamlaka yake yanaporwa na serikali ya CCM? Hapo tutawaelewa kuliko hii longo longo wanayofanya na kutaka kulitumbukiza taifa kwenye janga!!!
 
Acheni ushabiki wa kisiasa, NEC wanafanya haki yao kwa mujibu wa sheria. Nyie mwataka NEC ifanye kazi kwa mujibu wa vyama vyenu ambacho hakiwezekani. Kama chama chako kimeshindwa kuwa mpole na jipange kwa 2015.
 
Sasa kama ni kwa mujibu wa sheria wakurugenzi wa majimbo ambako matokeo hutangazwa wanareport wapi?
Kwa nini kusiwe na independent people kwa ajili ya shughuli za uchaguzi na si wateule wa raisi as huwezi Tangaza JK kalamba zero wakati ni bosi wako
 
Acheni ushabiki wa kisiasa, NEC wanafanya haki yao kwa mujibu wa sheria. Nyie mwataka NEC ifanye kazi kwa mujibu wa vyama vyenu ambacho hakiwezekani. Kama chama chako kimeshindwa kuwa mpole na jipange kwa 2015.
Sawa kaka wewe si upo tanzania na sisi tuko nchi nyingine hatui kinachoendelea ndani ya nchi!
 
Nchi nyingi tu tume nyingi zinateuliwa na Rais. Hoja hapa ni nyie kutaka Tume ifanye mnavyotaka nyie , hili haliwezekani. Inafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya nchi na sheria ya uchaguzi.
 
GeniusBrain bana, yaani wewe unavyoona ni sawa tu? Anyway, naona ulaji wako wa kodi zetu uko poa.

Lakini cha msingi tujaribu kuona sasa ni wapi kuna mapungufu ya NEC na kama hali ndo hiyo unadhani watu ni wajinga, acha watu waendelee kupata shida lakini yana mwisho wake.

Na tutarudi kwenye hii sehemu siku moja na ukweli utawekwa bayana. Na watu watanyea debe.
 
Nadhani anayepinga hoja kwmba tume ni mamluki ya ccm naye katumwa tangu lini mkurugenzi wa halimashauri atakiuka amri ya rais? Kwani hajaona makambiii alivyokwenda kubadili matokeo shinyanga mjini wakiwa na jiziiwaneee? Huu ni ukandamizaji na ndio unatuletea umaskini na maisha duni yasiyokuwa na tija, ni ukaburu unaofanyika hakuna haki ni utapeli na ubeberu wa ajabu unaofanyika ni uzandiki -bora kusiwe na uchaguzi watangaze wao watawale manake tunajua ni masultani, akifa mmoja mtoto au mjukuu anachukua huu ni wendawazimu mkubwa
 
Hivi hatukujifunza kwamba tume ndiyo ilisababisha mauaji ya raia wasio na hatia kenya? Serikali yetu inataka damu imwagike ilimradi inabaki madarakani?
 
Nadhani anayepinga hoja kwmba tume ni mamluki ya ccm naye katumwa tangu lini mkurugenzi wa halimashauri atakiuka amri ya rais? Kwani hajaona makambiii alivyokwenda kubadili matokeo shinyanga mjini wakiwa na jiziiwaneee? Huu ni ukandamizaji na ndio unatuletea umaskini na maisha duni yasiyokuwa na tija, ni ukaburu unaofanyika hakuna haki ni utapeli na ubeberu wa ajabu unaofanyika ni uzandiki -bora kusiwe na uchaguzi watangaze wao watawale manake tunajua ni masultani, akifa mmoja mtoto au mjukuu anachukua huu ni wendawazimu mkubwa

Nyie mwataka tume ifanye mnavyotaka nyie. Tume inafuata sheria na wala haiwajibiki kwa Rais. Mambo ya matusi hapa hatuyataki wewe toa hoja yako tukusikilize
 
GeniusBrain bana, yaani wewe unavyoona ni sawa tu? Anyway, naona ulaji wako wa kodi zetu uko poa.

Lakini cha msingi tujaribu kuona sasa ni wapi kuna mapungufu ya NEC na kama hali ndo hiyo unadhani watu ni wajinga, acha watu waendelee kupata shida lakini yana mwisho wake.

Na tutarudi kwenye hii sehemu siku moja na ukweli utawekwa bayana. Na watu watanyea debe.

Nani kwani anataka kuleta shida ? kwani nyie ndio mwadhani Dr. Slaa ndio ataleta neema na ahadi za vitu vya burebure ?. Demokrasia wengi wape, mmeshindwa tulieni jipangeni next time. Nashangaa mtu ambae alikuwa anasema yeye ni makini Dr. Slaa alishindwa kusoma alama za nyakati kuwa anaenda kupambana na sio saizi yake, wenzake wamemdanganya sasa anajuta huko alipo. Poleeeeeeeeeeeeeeeee !
 
Nchi nyingi tu tume nyingi zinateuliwa na Rais. Hoja hapa ni nyie kutaka Tume ifanye mnavyotaka nyie , hili haliwezekani. Inafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya nchi na sheria ya uchaguzi.

GeniusBrain
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateWed Nov 2010Posts20Thanks0Thanked 2 Times in 2 PostsRep Power0naona mmetumwa humu ndani .....mpo wengi kweli na tutawamaliza tu
 
Hapatakalika nchini hapa. Hili ndilo naliona. Kisha watakuja na hoja ya kutaka tushilikiane na serikali ya wezi. Ngoja mje muone penye moto moshi huf................!!!!!!
 
NEC wakishapokea matokeo kutoka jimboni wanasuburi ruhusa kutoka CCM kama yatangazwe ama la! NA HIYO NDO pekee mabibi na mabwana inayofanya majibu yacheleweshwe.sababu kama upinzani watakuwa wameshindwa inabidi yachakachuliwe ndo yatangazwe.
 
Wananchi tushinikize katiba mpya. Yes inawezekana. Jamani bila sacrifice wakubwa wetu hawawezi kubadilika. Yes lazima tunahitaji kafara kwa ajili ya mabadiliko. Kafara itakayowagusa wao wakubwa wetu. Bila hivyo ni ngumu kweli.
Wengi wamepoteza maisha yao katika uchaguzi huu. Lazima waenziwe, kuanzia Zanzibar, Musoma, Arusha, Mwanza na sasa Karagwe.
 
There is no way Kiravu and his people can betray the ruling party, we will never get true revolution in the abscence of the reliable leaders of nec. I agree with the topic: change nec to change Tanzania!
 
Back
Top Bottom