Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,630
- 4,687
Kikwete is a shame to Tanzania
Wala hakuna shaka na hili , yeye amekuwa sana akijisifia kwa jnsi anayojua kuomba misaada kwa wazungu, kwa maneno yake wamarekani, kuna dada anaitwa Lisa M. Rockefeller kamchana live!
Aibu tunayo wa TZ!!
Reply