Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Baada ya taarifa za tetesi ya Bank ya FMBE kuwa na akaunti zinazohusishwa na Ugaidi, hivyo kusababishwa kufungwa kukanushwa na Benki ya Taifa ya BoT; Benki hiyo (BoT) imetoa taarifa kwa Umma kuiendesha benki hiyo ya FBME toka July 24, 2014.

Hii ni baada ya Marekeni kuchunguza na kuibana benki ya FMBE hatimaye BoT wameingia kuiendesha.


BANK OF TANZANIA

PUBLIC NOTICE
​


Further to the Bank of Tanzania ["Bank"] Press Realease, which was issued on 20th July 2014 regarding FBME Bank Limited, the Bank wishes to inform the general public that, Central Bank of Cyprus (CBC) on Friday, 18th July look over the management at the operations of the branch of FMBE Bank Ltd in Cyprus, following the issuance of Notice of Findings by the USA'S Finachial Institution of Primary Money Laundering Concern.


In View of the decision by CBC to take over FBME Bank's branch in Cyprus and the effects these developments may have on the banking system n Tanzania, the general public is hereby notified that the Bank of Tanzania, in compliance with the provisions of Section 56(1){g}(iii) of the Banking and Financial Institutions Act, 2006 has taken over the management of the FBME Bank Tanzania effective 24th July 2014. The objective underlying this decision of the Bank of Tanzania is to ensure safety of customers' deposits and safeguard the stability of the entire banking system.


While the bank is under the Bank of Tanzania Management, the public is further notified that the bank's operations will continue smoothly.


BANK OF TANZANIA


24TH JULY 2014
.........


​


====================================================

Kwa taarifa zaidi juu ya sakata hili fuatilia habari hii;

=> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-or-promote-money-laundering-in-tanzania.html
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    63.1 KB · Views: 1,622
Huwa tunakurupuka kukanusha mambo ya wazi kabisa. Ona sasa tunavyohangaika. Hivi kama wange mute mwanzo na kisha wakachukua hatua hizi za leo, si wangesifiwa sana kwa umakini wa kufuatilia mambo? Tatizo ni kuingiza siasa hata kwenye mambo yasiyohitaji siasa.
 
Bora tuweke pesa nyumbani ukiweka bank utaambiwa ni za ugaidi.Kesi ya yule wakili arusha aliyekutwa na 18 billion imeishia wapi?
 
Yataisha tu! Hii ni zuga tu, mapesa ya wakulu yapo pale, sio rahisi kufungwa, watazugaaaaa mwisho wataachia!....
 
Smart move. Terrorists must not be allowed to siphon funds through shady bank transfers that eventually finance evil operations.
 
Sasa walikanusha nn?

Walikanusha kwanza ili waone kwanza kama kuna upenyo wa kuzikomba pesa sasa wameamua kughaili maana wamegundua Marekani haitawaacha hivi hivi na ndio maana ya sentensi hii kwenye PR yao! "In View of the decision by CBC to take over FBME Bank's branch in Cyprus and the effects these developments may have on the banking system in Tanzania"

Barbs to you BOT!!
 
kapuku kapuku nishida majiviongozi yetu kunya wanye wao kinyesi wakile wenyewe nishidaaaaa
 
Best si unaona sasa wamejibaraguza huku na kule hatimaye wamefanya kile ambacho tulikuwa tunakiongelea hapa kwa siku kadhaa sasa, nadhani senti zao wameshazihamishia mahali salama (kwenye bank nyingine ya mafisadi). Fikiria kama vijisenti vyako vingekuwa kule FBME si ungeanza kuwa na wasiwasi? Hongera kwa kuwa wa mwanzo kabisa kuchukua hatua.

Yataisha tu! Hii ni zuga tu, mapesa ya wakulu yapo pale, sio rahisi kufungwa, watazugaaaaa mwisho wataachia!....
 
BOT walikuwa sahihi kabisa kukanusha kwanza ili kuepusha "BANK RUN" ambayo ingeweza kutokea endapo wangekiri mara moja.

Hii naamini iliwapa muda kufanya mawasiliano na wenzao kujua undani wa tatizo lililokuwa likiikabili benki ya FBME na kuandaa hatua stahiki za kuchukua.
 
best si unaona sasa wamejibaraguza huku na kule hatimaye wamefanya kile ambacho tulikuwa tunakiongelea hapa kwa siku kadhaa sasa, nadhani senti zao wameshazihamishia mahali salama (kwenye bank nyingine ya mafisadi). Fikiria kama vijisenti vyako vingekuwa kule fbme si ungeanza kuwa na wasiwasi? Hongera kwa kuwa wa mwanzo kabisa kuchukua hatua.

best nilikuwa wa kwanza the following morning kubeba kilicho changu! Hubby wangu Asprin angenitupiamo talaka kha! Ila just feeling sorry for them kwa kweli, and am wishing the all the best!
 
Last edited by a moderator:
BOT walikuwa sahihi kabisa kukanusha kwanza ili kuepusha "BANK RUN" ambayo ingeweza kuokea endapo wangekiri mara moja. Hii naamini iliwapa muda kufanya mawasiliano na wenzao kujua undani wa tatizo lililokuwa likiikabili benki ya FBME na kuandaa hatua stahiki za kuchukua.

Kimya ingekuwa busara zaidi ah hata wangezuga kuwa tunafuatilia, sasa Tamko lao jingine likijatokea nani atawaamini?
 
Back
Top Bottom