Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

Kuna msemo kwenye banking industry kuwa "a news paper can kill a fly as well as a bank" jambo likishaanza kujadiliwa kwenye vyombo vya habari mdhibiti anakuwa hana luxury ya kukaa kimya. Hiyo busara unayosema ni sahihi ikiwa tu mambo hayajadakwa na waandishi wa habari na kumbuka dunia ni kijiji hivyo watu wana access na taarifa za kibenki dunia nzima.

Mkuu unaweza kuwa sahihi, lakini on the other hand, unaikumbuka Lehmans bros. Libenki lile lilipokuwa limefilisika mambo yalishaanza kuandikwa. Lakini hatukusikia Federal Reserve bank of Cleveland kuanza kutoa matamko mpaka walipotangaza wenyewe. Sembuse kijibenki kama FBME?
 
Mkuu Ndibalema, you must have missed the point then, and you've missed the point leo!.

Taarifa ya mwanzo ya PRO wa BOT ilikuwa na lengo kuzuia panic!, hawakukanusha chochote bali walisema oparations zinaendelea kama kawa!. Taarifa ya leo inaeleza management take over but oparations zinaendelea kama kawa!, taarifa zilizokanusha ni ule uongo kuwa benki itafungwa!, haijafungwa na labda haitafungwa baada ya sisi kufanya due diligence report na kugundua its just the wicked people with their evil schemes!.
Pasco.
Unajua ninachokiona hapa hii ni initial stage ya kuelekea kuifunga hii bank.
Soon and very soon tutatangaziwa tena kuwa '..sasa bank imefungwa rasmi..'.
Nadhani ndicho kitakachofuatia.
 
Huwa tunakurupuka kukanusha mambo ya wazi kabisa. Ona sasa tunavyohangaika. Hivi kama wange mute mwanzo na kisha wakachukua hatua hizi za leo, si wangesifiwa sana kwa umakini wa kufuatilia mambo? Tatizo ni kuingiza siasa hata kwenye mambo yasiyohitaji siasa.

Tena afadhali Kama kanusho Lao wangeliandika kwa Pencil, maana ingekuea raihisi kulifuta.
 
Mjadala ulikuwa ni mkali Sana hapa, maana MTAZAMO alikuwa akilichimba Sana huku upande mwingine Sangarara akianika kwa kuonyesha kila uozo hadharani, pia kulikuwa na BAK, ngogo na wengine lakini Pasco kwa ujasiri wa kipekee alisimama kuitetea bank hiyo huku akiimwagia sifa BOT kwa kuwavimbia marekani, bahati mbaya kumbe BOT hawakua serious Bali walikua 'wanatania'.
 
Last edited by a moderator:
au BOT wanaogopa Exchange rate ku shoot up, Madollah ya hao jamaa yakiondoka tunanunua dollar moja mpaka kwa TZS 2,500.

We ngoja Cyprus wazirecall hela zilizo uko, BOT wanataka kutupoteza kijanja, tutamonitor Forex Exchange dynamics kwa ukaribu zaidi ya siku zingine mpaka hii project iishie walikuwa wanachekelea chekelea vibahasha kama vile alisema Kamanda Mawazo, now the cows have come back home.

Leo 1USD is equivalent to 1660, kwenye black Market inafika Mpaka 1672

Mimi mambo yenu ya mahela hela wala hats siyajuagi, ila hata mtu afanyeje hanipunji.
Either way, ni swali mkuu, ni nani yupo in position ya Ku recall hizo dollars Kati ya BOT ilipo HQ na Cyprus zilipo assets. Katika issue na mazingira hays an aye recalled anatakiwa kuwa na sifa zipi hasa?
 
Last edited by a moderator:
inawezekana wanaokifadhili chama cha magaidi ndio hutumia bank hiyo kuingiza pesa nchini.bot waliambiwa wakanushe kama Hosea alivoagizwa kukanusha wizi na rushwa za sakata la rada.
 
Mkuu unaweza kuwa sahihi, lakini on the other hand, unaikumbuka Lehmans bros. Libenki lile lilipokuwa limefilisika mambo yalishaanza kuandikwa. Lakini hatukusikia Federal Reserve bank of Cleveland kuanza kutoa matamko mpaka walipotangaza wenyewe. Sembuse kijibenki kama FBME?
kabla hujafananisha Lehman Brothers ya Marekani na FBME ya Tanzania ungejielimisha kidogo sababu iliyopelekea ikaomba "Bankruptcy Protection" under Chapter 11. Kimsingi ni "Bank Run" ndio iliyoilazimisha kufanya hivyo. Lakini pia "Bank Run" inapotokea ina kawaida ya kuwa na "systemic effect" kwenye industry nzima ya banking. Hivyo leo inaweza ikatokea FBME lakini kesho ikahamia Azania, kisha CRDB na kuendelea. Hivyo mara zote kinga ni bora kuliko tiba linapokuja suala la "Bank Run" na ndicho, kwa mtazamo wangu, walichokuwa wakifanya BOT.
 
There is neither going to be Bank run nor systemic effect as far the FBME issue is concerned, and BOT are managing quite a different issue, it is neither Bank run nor protecting customer deposits.
 
Mafuru ni wa mbili havai moja na usilolijua litakusumbua!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kabla hujafananisha Lehman Brothers ya Marekani na FBME ya Tanzania ungejielimisha kidogo sababu iliyopelekea ikaomba "Bankruptcy Protection" under Chapter 11. Kimsingi ni "Bank Run" ndio iliyoilazimisha kufanya hivyo. Lakini pia "Bank Run" inapotokea ina kawaida ya kuwa na "systemic effect" kwenye industry nzima ya banking. Hivyo leo inaweza ikatokea FBME lakini kesho ikahamia Azania, kisha CRDB na kuendelea. Hivyo mara zote kinga ni bora kuliko tiba linapokuja suala la "Bank Run" na ndicho, kwa mtazamo wangu, walichokuwa wakifanya BOT.

Naona unahamisha goal posts!
 
Naona unahamisha goal posts!
Sina haja wala sababu ya msingi ya kuhamisha goal posts. Bank run yoyote ile isipodhibitiwa ina systemic effect kwenye banking industry. Hapa tunaelemishana tu kama una hoja wewe weka kwenye baraza tuijadili. Nilichokuwa nakufahamisha ni umuhimu wa kuangalia muktadha wa jambo husika kabla hujatumia mifano ya nchi za wenzetu zilizoendelea kiuchumi, kisiasa na kibenki kufananisha na kinachotokea hapa kwetu. Pia ni vizuri ukaijua vyema historia ya mifano unayotumia ili kuweza kutoa mlinganisho unaoeleweka. Ni hilo tu. Vinginevo leta hoja tujifunze zaidi.
 
Hata waandishi wetu wanashindwa kufatilia historia za matukio ili kuweka kumbukumbu sawa .... cc Kimweri ...
 
Back
Top Bottom