"The BOT has taken over the activities of the FBME bank and has appointed former NBC CEO, Lawrence Mafuru as the interim CEO" said my learned brother,John Seka on his facebook account.
Congratulations Laurence Mafuru!
TUHUMA UFISADI WA SH BILIONI 31 ZA NBC KULIPULIWA ...
TUHUMA UFISADI WA SH BILIONI 31 ZA NBC KULIPULIWA - Global Publishers
14 Feb 2011 ... TUHUMA za ufisadi katika uuzaji wa Benki ya NBC 97 Ltd zinatarajiwa kuanza kulipuliwa kwa nyaraka moja baada ya nyingine, wakati kesho ...
Raia Mwema - Mabilioni yapotea kiaina NBC
Raia Mwema - Mabilioni yapotea kiaina NBC
25 Jul 2012 ... Mkurugenzi Mkuu wa NBC, Lawrence Mafuru .... ununuzi ambao ulizua upinzani mkali nchini ikielezwa kuwa ni uuzaji wa bei ya kutupwa.
Hiyo bank ndio inaongoza kwa kuwa mtaji mkubwa.
Na wanakopesha bank nyingine sana ndio biashara yao kubwa
Sehemu kubwa ya majengo makubwa ya waraabu mitaji yao imepitia hii bank
Tanzania nchi ya kusikitisha, TUNACHAGUA wapuuzi halafu tunategemea wasifanye maamuzi ya kipumbavu. Tulisema last week hapa kuwa BOT was supposed to put this bank under administration, wakakana kuwa hakuna tatizo. sasa kiko wapi?
This is EMBARRASSING, kama BOT inasubiri ipewe taarifa kutoka US, sovereignty iko wapi?
Baada ya taarifa za tetesi ya Bank ya FMBE kuwa na akaunti zinazohusishwa na Ugaidi, hivyo kusababishwa kufungwa kukanushwa na Benki ya Taifa ya BoT; Benki hiyo (BoT) imetoa taarifa kwa Umma kuiendesha benki hiyo ya FBME toka July 24, 2014.
Hii ni baada ya Marekeni kuchunguza na kuibana benki ya FMBE hatimaye BoT wameingia kuiendesha.
====================================================
Kwa taarifa zaidi kuu ya sakata hii fuatilia habari hii;
=> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-or-promote-money-laundering-in-tanzania.html
Mbona hizo taarifa hazijafika mezani kwangu??
TZ bana, kizungumkuti kila mahali
Mkuu Kibanga, naomba nine very open wide and clear!.Pasco upo? You said it will never happen!.
Mbona hizo taarifa hazijafika mezani kwangu??
wewe
Congraturation Mafuru kivipi?
Uteuzi wa Mafuru ni uthibitisho kwamba Kikwete anaingilia majumu kwenye Idara za serikali zinazohitaji maamuzi ya kitaalamu wakati utaalamu huo hana.
Mafuru aliondoka NBC kwa sababu zisizo nzuri hata kama zilifichwa na kumsaidia kuondoka kistaraabu, kwa vyovyote vile amepoteza sifa za kusimamia biashara ya Kibank.
Zaidi tunajua kwamba yuko kwenye Big Result Now Management team sijui Presidential nini nini, na hajamaliza hata miezi sita, sasa kumpeleka huko maana yake ni kwamba hakuwa na umuhimu hapo Ikulu? ukizingatia FBME inaendeshwa as a Project, lazima ifikie mwisho tena haraka, sasa unampelekaje mtu kutoka kitengo muhimu namna hiyo, au ndio mnatutaarifu kwamba BRN imeishafail? au anaunderperform?
Kwa nini wasipeleke mtu kutoka Bank Supervision department BOT?
Na kama ni kweli, ampitishie Kimei barua ya kuresign nafasi aliyochaguliwa CRDB, Non Executive Director wa CRDB leo leo jioni.
This country!!!!! I cry for you Tanzania...
No siwachukii as individual American citizen hata mimi wife na two kids wanaishi huko!, but tukiachana na double standards, haws jamaa ni real wicked with evil schemes for Africa!.Hahahaha ... pasco dua la kuku ........kweli unawachukia wamarekani ......
Mkuu Ndibalema, you must have missed the point then, and you've missed the point leo!.BOT si walikanusha? nilishangaa sana ile jeuri ya kuwa against na matakwa ya Marekani yalitoka wapi!