Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

best nilikuwa wa kwanza the following morning kubeba kilicho changu! Hubby wangu Asprin angenitupiamo talaka kha! Ila just feeling sorry for them kwa kweli, and am wishing the all the best!

Acha maneno mengi my wife material.... niambie umekwapua ngapi tukamalize kibanda chetu Kerege?
 
Yale yale ya Green Bank, hivi money roundry haihusu pesa za wakubwa?
 
"The BOT has taken over the activities of the FBME bank and has appointed former NBC CEO, Lawrence Mafuru as the interim CEO" said my learned brother,John Seka on his facebook account.

Congratulations Laurence Mafuru!
 
Attachments

  • 10525828_10152616070827094_7973219847640494117_n.jpg
    10525828_10152616070827094_7973219847640494117_n.jpg
    51 KB · Views: 150
"The BOT has taken over the activities of the FBME bank and has appointed former NBC CEO, Lawrence Mafuru as the interim CEO" said my learned brother,John Seka on his facebook account.

Congratulations Laurence Mafuru!

wewe

Congraturation Mafuru kivipi?

Uteuzi wa Mafuru ni uthibitisho kwamba Kikwete anaingilia majumu kwenye Idara za serikali zinazohitaji maamuzi ya kitaalamu wakati utaalamu huo hana.

Mafuru aliondoka NBC kwa sababu zisizo nzuri hata kama zilifichwa na kumsaidia kuondoka kistaraabu, kwa vyovyote vile amepoteza sifa za kusimamia biashara ya Kibank.

Zaidi tunajua kwamba yuko kwenye Big Result Now Management team sijui Presidential nini nini, na hajamaliza hata miezi sita, sasa kumpeleka huko maana yake ni kwamba hakuwa na umuhimu hapo Ikulu? ukizingatia FBME inaendeshwa as a Project, lazima ifikie mwisho tena haraka, sasa unampelekaje mtu kutoka kitengo muhimu namna hiyo, au ndio mnatutaarifu kwamba BRN imeishafail? au anaunderperform?

Kwa nini wasipeleke mtu kutoka Bank Supervision department BOT?

Na kama ni kweli, ampitishie Kimei barua ya kuresign nafasi aliyochaguliwa CRDB, Non Executive Director wa CRDB leo leo jioni.

This country!!!!! I cry for you Tanzania...
 
Mafuru? hivi tuna watu wachache sana wenye uwezo? Majukumu aliyopewa Mafuru na Rais Kikwete haitoshi? Najua tutaonekana walalamishi tu......
 
Kimya ingekuwa busara zaidi ah hata wangezuga kuwa tunafuatilia, sasa Tamko lao jingine likijatokea nani atawaamini?
Kuna msemo kwenye banking industry kuwa "a news paper can kill a fly as well as a bank" jambo likishaanza kujadiliwa kwenye vyombo vya habari mdhibiti anakuwa hana luxury ya kukaa kimya. Hiyo busara unayosema ni sahihi ikiwa tu mambo hayajadakwa na waandishi wa habari na kumbuka dunia ni kijiji hivyo watu wana access na taarifa za kibenki dunia nzima.
 
Mafuru? hivi tuna watu wachache sana wenye uwezo? Majukumu aliyopewa Mafuru na Rais Kikwete haitoshi?

Hamna kitu pale, Kikwete mwenyewe concept ya BRN kaiparamia tu, Kwa hali ya uchumi wetu ambao uko kwenye crisis state hauwezi kwenda kucopy concept za kupeleka Taifa kwenye level ya developed country uje uipaste hapa ambapo bado tunaangaika na mko mmoja kwa siku.

Ushahidi ni huu, Rais anakubali vipi mtu atoke kwenye kitengo ambacho ndio kinasimamia dira ya maendeleo ya Taifa kwenda kwenye kiproject kama hiki?
it is disgusting.
 
Kwa ufupi Mkuu wameufyata, yaani wamerudisha mikia ndani!!
 
Kuna msemo kwenye banking industry kuwa "a news paper can kill a fly as well as a bank" jambo likishaanza kujadiliwa kwenye vyombo vya habari mdhibiti anakuwa hana luxury ya kukaa kimya. Hiyo busara unayosema ni sahihi ikiwa tu mambo hayajadakwa na waandishi wa habari na kumbuka dunia ni kijiji hivyo watu wana access na taarifa za kibenki dunia nzima.

Kwa hiyo wewe ni muumini wa Secrecy, wewe na John Lister mnamahusiano gani?

No vex
 
Hamna kitu pale, Kikwete mwenyewe concept ya BRN kaiparamia tu, Kwa hali ya uchumi wetu ambao uko kwenye crisis state hauwezi kwenda kucopy concept za kupeleka Taifa kwenye level ya developed country uje uipaste hapa ambapo bado tunaangaika na mko mmoja kwa siku.

Ushahidi ni huu, Rais anakubali vipi mtu atoke kwenye kitengo ambacho ndio kinasimamia dira ya maendeleo ya Taifa kwenda kwenye kiproject kama hiki?
it is disgusting.

Au anakwenda kusimamia maslahi "yao" .........:A S 109:
 
NACHUKUA NAFASI hii kukupongeza sana mkuu , KWENYE HILI JUHUDI ZAKO NIMEZIONA , MUNGU AKULINDE MNO !

Amen

Lakini Pongezi hizi wanastahili hawa wanne, MTAZAMO BAK na Paddy + Ngongo ambaye alikuwa ni muwakilishi wa wateja wa FBME hapa jamvini na ndugu Pasco ambaye alikuwa muwakilishi wa BOT.
 
Last edited by a moderator:
Bank kama hizi Alhaj Membe huwa anazitumia anapokusanya fedha za kampeni arabuni, isingefungiwa chapchap lazima kuwe na fursa hela ikimbizwe kwanza
 
Haiwezekani BoT wasijue kilichokuwa kikiendelea pale, kwa hatua waliyochukua tusishangae mwishoni ni kuficha hata yale yaliyokuwa hayajajulikana. Labda FBI/CIA walete watu wao wenyewe.
Sina utaalamu sana na mambo haya lakini wasi wasi wote unatokana na ukosefu wetu wa moral authority kuweza kusimamia uhalifu kama huu. Inasikitisha!
 
au BOT wanaogopa Exchange rate ku shoot up, Madollah ya hao jamaa yakiondoka tunanunua dollar moja mpaka kwa TZS 2,500.

We ngoja Cyprus wazirecall hela zilizo uko, BOT wanataka kutupoteza kijanja, tutamonitor Forex Exchange dynamics kwa ukaribu zaidi ya siku zingine mpaka hii project iishie walikuwa wanachekelea chekelea vibahasha kama vile alisema Kamanda Mawazo, now the cows have come back home.

Leo 1USD is equivalent to 1660, kwenye black Market inafika Mpaka 1672
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom