Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,437
Sisi ni dona kantri, Beberu ndiye atakae kuja na bakuli lake hapa.Wanajidanganya tu!Hawa mbumbumbu hawataruhusiwa kusafiri kwenda popote duniani bila chata ya Beberu(chanjo)
Sisi ni dona kantri, Beberu ndiye atakae kuja na bakuli lake hapa.Wanajidanganya tu!Hawa mbumbumbu hawataruhusiwa kusafiri kwenda popote duniani bila chata ya Beberu(chanjo)
🤣🤣🤣Sisi ni dona kantri, Beberu ndiye atakae kuja na bakuli lake hapa.
Ndui /polio mnachanjwa daily... Dawa za ukimwi mnaletewa, dawa za malaria mnaletewa sijui unaongelea nini...Safi! Kabla wazungu hawajaivamia Afrika kwani si tulikuwa tunaishi?
Tangu wamekuja huku na magonjwa yamekuwa mengi.... Kwanini tusiamini wao ndio wanatutengenezea magonjwa kwa sababu wanazozijua wao?
Niko pamoja na serikali katika hili
haki ya Mungu, mkijaribu kutumia chanjo yoyote mtaathiriwa na huyo Corona maisha yenu yote. Watu tupo ughaibuni hata hizo chanjo hutajawai kuzitumia, ninyi mnazishadadiaaaaaaaaaaa utadhania maandazi.Bora umetoka mafichoni Mwanasheria Msomi.Hii kitu imekaaje kisheria?Kumbuka Uanachama wetu na Umoja wa Mataifa tume saini Protocals mbalimbali,leo waziri anajisemea hayo ambayo tunayosoma mitandanoni.
Nini kinaenda kutokea?
Kwahiyo unashauri tuendelee kuletewa?Ndui /polio mnachanjwa daily... Dawa za ukimwi mnaletewa, dawa za malaria mnaletewa sijui unaongelea nini...
hata wajinga nao wamepewa uhuru wa kuchangia kwenye jamii yenye demokrasia. Hivyo tunathamini mchango wako ndugu.
Ni afadhali ujinga utaelimishwa kuliko Mpumbavu katika upumbavu wake. Hasara tupu.hata wajinga nao wamepewa uhuru wa kuchangia kwenye jamii yenye demokrasia. Hivyo tunathamini mchango wako ndugu.
Corona na ukimwi ni vitu viwili tofauti kabisa bwashee!
Kwanini uandike maelezo mengi yasiyo na hoja ndani yake?Miaka rudi miaka nenda ARVs zilikuwa zinakuja hapa zinatolewa bure kutoka kwa wahisani sasa kwanini wka hizi chanjo iwe ajabu. Polio je si kwa msaada wa wahisa? Na madawa yote yanayotolewa kwa ufadhili wa wahisani uwe yamekuwa labelled yanakobidi yatumike iwe kwenye package kubwa au individual package.
Narudia tena mimi kwasasa siwezi kuchoma hiyo chanjo, lakini kuna upotoshaji mwingi. Ndiyo maana hata wewe ulianza kwa kusema hawa hawachomu hizo chanjo kitu ambacho siyo kweli, mimi nimekupa mfano wa hao wa Australia kwakuwa hayo matangazo yao nimeshiriki kuyatengneza. Na ya mwisho tunayamaliza kesho.
Kwanini uandike maelezo mengi yasiyo na hoja ndani yake?
Nakuuliza tena, ni vigezo vipi (Criteria ipi) imetumika kuzichagua nchi zilizo kwenye hiyo label ili zipewe huo ufadhili wa hiyo chanjo? Mfano, kwanini South Africa ipo na Libya haipo.., etc , walikuwa wanaangalia kitu gani katika kufanya hiyo selection?
pia nasisitiza, angalia hii video ya french doctors wanachosema.
Kwa ARV wanaangalia nchi zinazoongoza kwa maambukizi kuliko nchi zingine, pia wanaangalia na uwezo wa kiuchumi wa nchi husika.Ni vigezo gani uwa vinatumika kutupatia ARVs na nchi nyingine zisipatiwe, siyo mara ya kwanza madawa kuandikwa sehemu yalipolengwa kutumika ni kutokana na walifadhilli wamelenga yaende nchi gani. Sasa kabla ya kuanza kuassume ungetafuta vigezo hivyo kwanza.
Kuna conspiracy theories nyingi out there za watu mbalimbali wengine wanasema madr wengine wanasema wanasayansi. Hivyo kila mtu anachagua nini cha kuamini na nini chakutoamini.
Yaaani kelele zote hizo ni kujitutumua tu, hawana ubavu huo labda kama tutabaki kama kisiwa...na yale madege yao watayarusha wapi na abiria wote wanaoenda nje ya nchi watatakiwa kuwa na chanjo. Waseme tu hawataki kutoa pesa kununua ila wakipewa bure hawakatai watakuambia tushajiridhisha inafaa kwa matumizi na huyo mama atakua wa kwanza kuchanjwa kwenye tv. Sana sana watasema kila amaenda nje chanjo ipo ila kwa dola kadhaa. Ushakula pesa za covid hlf ukatae chanjo.... unaanzaje??Wakatae na chanjo nyingine basi! Wasiishie kwenye hiyo chanjo ya Corona tu. Waende mbali zaidi! Ikibidi hata madawa yote yatengenezwe Nchini.
Majaribu aliyoyasema JPM tujiandae nayo ndio hayo.., hakuna jipyaYaaani kelele zote hizo ni kujitutumua tu, hawana ubavu huo labda kama tutabaki kama kisiwa...na yale madege yao watayarusha wapi na abiria wote wanaoenda nje ya nchi watatakiwa kuwa na chanjo. Waseme tu hawataki kutoa pesa kununua ila wakipewa bure hawakatai watakuambia tushajiridhisha inafaa kwa matumizi na huyo mama atakua wa kwanza kuchanjwa kwenye tv. Sana sana watasema kila amaenda nje chanjo ipo ila kwa dola kadhaa. Ushakula pesa za covid hlf ukatae chanjo.... unaanzaje??
Lakini ARV watu waendelee kubugia kama karanga ?