Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,807
- 128,827
Waziri wa afya Dr Gwajima amesema serikali haina mpango wa kupokea chanjo ya Corona kwa sababu nchi iko salama na haina maambukizi ya Covid 19.
Dr Gwajima amewataka watanzania kutumia dawa lishe ambazo hata yeye na familia yake wanazitumia na zimewasaidia sana.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Aseme tu kuwa Magufuli ndio hataki hiyo chanjo ya Corona. Yeye na familia yake wametumia na zimewasaidia, kwani wao walikuwa na huo ugonjwa? Isitoshe nani anamuiga yeye kwenye maisha mpaka ajitolee mfano wa kuigwa? Labda wanaccm wenzake.