Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

Masikini hana jueri.Hii ni mikwara mbuzi tu mbele ya mabeberu.

Time will tell.
mikwara mbuzi imekuwa[emoji38][emoji38].

unadhani nani anampiga mkwara mwenzake hapa,na ni kwa faida ya nani??
 
Hizo ni placebo tu hamna chanjo hapo, chanjo yenyewe ndio inaletwa huku Afrika kufanyiwa majaribio, itakayofaa ndio watawapelekea watu wao katika kila wanachoita followup shots, ndio maana hata wakichomwa wanaambiwa waendelee kuvaa mask na kuchukua tahadhari
Kweli mtu akiamini jambo basi anaamini tu bila sababu, hizo video hazijatengenezwa kwa ajili ya afrika, ziko video tano na ni kwa ajili ya waustralia kila video ina ujumbe mahususi kuhusu chanzo, hiyo inaeleza chanjo ni nini, inayofuata inaeleza jinsiilivyokuwa developed na ni kitu gani kimetumika kutengeneza chanjo, ya tatu inaeleza ni chanjo gani zimeruhusiwa kutumika na wamepitia mchakato gani mpaka kuzipitisha, viideo ya nne inaeleza ni makundi gani yatachomwa chanjo, wataanza na watu waliyo kwenye makundi hatarisi kama walinzi wa mipaka, watoa huduma za afya wazee na vilema, kisha watafuata watu wote waliozidi umri wa ujana.

Vijana na watoto hawatachomwa chanjo kwasababu data zinaonyesha siyo rahisi kwao kuugua sana pale wanapopata corona, ila watachomwa pale inapobidi. Mwisho kabisa kila anayestahili kuchomwa chanjo atachomwa chanjo mbili ili ziweze ufanya kazi kwa urahisi.
Na ni kwa ajili ya waustralia hayo amelezo hayawahusu waafrika.

Hivyo ni jambo la kushangaza ukisema wao hawachomi chanjo, labda ungesema wanachoma chanjo tofauti na waliyoleta afrika.
 
Chanjo tofauti? Hahah, kwamba kuna utofauti kati ya binadamu (wazungu) na wanyamapori (WaAfrika)? Hahah, muwe mnaonaga aibu basi, khaaaa
3EF106C9-8B36-47E7-8C29-EB590DCCED77.jpeg

Tafuta video ya wale french doctors wawili walichokisema, au ngoja nikuwekee hapo chini, wanasema wawape wazungu placebo halafu waAfrika weusi wapewe chanjo za majaribio, itakayofaa ndio waende kuwapa binadamu (wazungu) baada ya kujiridhisha ubora na usalama wake kwa ‘wanyamapori’ na ‘manyani’ (WaAfrika weusi)

Nasisitiza, wanachopewa wazungu ni placebo, chanjo halisi inakuja kujaribiwa kwa watu weusi, itakayofaa ndio watapewa ‘binadamu’ huko ulaya
 
Huyu mama kumbe na yeye hazimo kabisa!!!

Kanda yetu ya Ziwa inaonekana inazalisha watu wa ajabu sana. Wanasoma lakini hawaelimiki. Sijui tatizo ni malezi/makuzi au ni unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanjo tofauti? Hahah, kwamba kuna utofauti kati ya binadamu (wazungu) na wanyamapori (WaAfrika)? Hahah, muwe mnaonaga aibu basi, khaaaa
View attachment 1691952

Tafuta video ya wale french doctors wawili walichokisema, au ngoja nikuwekee hapo chini
Sasa Mkuu unacheka nini na unapinga nini, nimekwambia kusema kwamba wao hawachomi chanjo ni uongo labda useme kuwa chanjo wanazochoma wao sizo wanazotuletea sisi hapo nitaelewa.

Dawa hasa zile ambazo zinakuwa zimetolewa kwa msaada au bure au zimekuwa subsidized lazima ziandikwe zinapelekwa wapi. Hivi ebu fikiria kwa umakini, unadhani kama walitaka kuleta chanjo ya kukuaa kungekuwa na haja gani ya kuandika hicho kilichoandikwa? Maana obviously kingeleta maswali.

Mimi sina mpango wa kuchoma chanjo lakini kuna upotoshaji mwingi juu ya haya mambo ya chanjo likiwemo la wewe kusema eti wao haachomi chanjo, siyo kweli wanachoma.
 
Waziri wa afya Dr Gwajima amesema serikali haina mpango wa kupokea chanjo ya Corona kwa sababu nchi iko salama na haina maambukizi ya Covid 19.

Dr Gwajima amewataka watanzania kutumia dawa lishe ambazo hata yeye na familia yake wanazitumia na zimewasaidia sana.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Uliona wapi masikini anamfokea tajiri?
 
Chanjo ya corona ni ghali sana; Ulaya ni kama 5000/= mtu mmoja! Ikifika huku Afrika bei inaweza kuwa mara tatu zaidi! Nadhani hiyo ndiyo changamoto inayowafanya watawala wetu wakatae mpango.
 
Sasa Mkuu unacheka nini na unapinga nini, nimekwambia kusema kwamba wao hawachomi chanjo ni uongo labda useme kuwa chanjo wanazochoma wao sizo wanazotuletea sisi hapo nitaelewa...
Duuh, unaandika serious kwamba ni msaada unaelekezwa wapi? Niambie ni kigezo gani kimetumika kuchagua hizo nchi zilizopewa msaada (kwa maelezo yako) katika hiyo label?

Pia sikiliza hao madoctor walichosema, kwamba wafanye kama wanavyofanyaga miaka yote...., wawachome watu wao placebo kisha wawachome masokwe huku Afrika chanjo yenyewe ya majribio kuona ipi ni madhubuti na salama, kisha ndio waipeleke kwa binadamu huko ulaya
 
Duuh, unaandika serious kwamba ni msaada unaelekezwa wapi? Niambie ni kigezo gani kimetumika kuchagua hizo nchi zilizopewa msaada (kwa maelezo yako) katika hiyo label?....
Miaka rudi miaka nenda ARVs zilikuwa zinakuja hapa zinatolewa bure kutoka kwa wahisani sasa kwanini wka hizi chanjo iwe ajabu. Polio je si kwa msaada wa wahisa? Na madawa yote yanayotolewa kwa ufadhili wa wahisani uwe yamekuwa labelled yanakobidi yatumike iwe kwenye package kubwa au individual package.

Narudia tena mimi kwasasa siwezi kuchoma hiyo chanjo, lakini kuna upotoshaji mwingi. Ndiyo maana hata wewe ulianza kwa kusema hawa hawachomu hizo chanjo kitu ambacho siyo kweli, mimi nimekupa mfano wa hao wa Australia kwakuwa hayo matangazo yao nimeshiriki kuyatengneza. Na ya mwisho tunayamaliza kesho.
 
Masikini hana jueri.Hii ni mikwara mbuzi tu mbele ya mabeberu.

Time will tell.
Ni ujanja ujanja tu!!kutaka kukwepa kuzinunua kwani wanajua ni jukumu la nchi kuzinunua!!kila siku wanamsifia mchina na mrusi kuwa wao sio mabeberu, sasa kama ni rafiki zao si wanunue dawa kutoka nchi hizo?
 
kama tulivyowashangaa wazee wetu katika vita ya majimaji hivyoivo tutashangwaa na vizazi vijavyo kwa kuamini katika utopolo
 
Back
Top Bottom