Hebu taja family moja ilikuja hadharani na kusema Baba yangu au Mama yangu alichukuliwa na hatujui yuko wapi? ondoa ujinga wako na history za magumashi hizi kuwajaza watu ujinga na kuamini tulikuwa tunateswa ila leo tuna raha.
Hivi inahitaji degree kujua ya kuwa hizi huduma unazoziona hapo zilikuwa zinawafikia wachache tu? tena ni wale wanaowanufaisha/watumikia Watawala?.

Hujaona picha nyingine Wazazi wako wamefungwa minyororo kama tumbili?. au ndio yale yale Mswahili ukishapata raha wewe wenzako wapambane na hali yao.
 
Hebu taja family moja ilikuja hadharani na kusema Baba yangu au Mama yangu alichukuliwa na hatujui yuko wapi? ondoa ujinga wako na history za magumashi hizi kuwajaza watu ujinga na kuamini tulikuwa tunateswa ila leo tuna raha.
Yaani kwa akili yako hayo mazuri ya Wazungu unayoyaona hapo yalikuwa yanawafikia Watanganyika wote?.

Kweli unahitaji akili ya ziada maana ulizonazo hazikutoshi...kabisa Mzungu katoka kwao kaja kukutengenezea ili nawe ufaidi kama kwao ulaya?.

Kwa uzuri au ubora upi haswa ulionao Mmatumbi wewe Mzungu aje akujengee nyumba aweke tiles na Jacuzi ili wewe uwe unajilaza kwenye kochi kuangalia tv....wakaachwa Wajapan, Wafilipino, Wavenezuela.

Hili wala halihitaji kupekua vitabu bali ni common sense tu ndugu...na kama ndivyo ilivyokuwa basi jiulize ni kwa nini walifanya hivyo..ukipata jibu linal make sense kwako unishirikishe.

Bongo 2.png

Kwa hiyo na hawa walikuwa wanafaidika na hizo facilities walizojenga Wazungu?

Waliokuwa wanafaidika sanasana ni wale waliojulikana kwa majina maarufu kama "Boy wa Mzungu"...sijui kama ulikutana na haya majina maana sijui umri wako...achana na taarifa za kuokoteza ndugu.

Mazuri yalikuwepo sawa lakini yalibagua.
 
View attachment 2318970

Unafurahisha sana hakuna jambo la kijinga kama kuaminishwa history zenye malengo ya kuwanufaisha watawala. Ni bora hawa wamepigwa picha na wamevaa na hata mafuta wamepaka sasa nenda kapige picha waliofungwa hivi sasa tufananishe. Mbona sijawahi kusikia hata mtu mmoja akatambua kwenye picha na kudai fidia kama alikuwa mwanae au mke au Mama. Wazungu hata kwao hufanyi kazi hupati sasa wewe tuambie wananchi wangapi wanafaidi utajiri wa nchi hii? wewe kama sio kada wa chama fulani huna lako ndio hali halisi.
 
Yaani kwa akili yako hayo mazuri ya Wazungu unayoyaona hapo yalikuwa yanawafikia Watanganyika wote?.

Kweli unahitaji akili ya ziada maana ulizonazo hazikutoshi...kabisa Mzungu katoka kwao kaja kukutengenezea ili nawe ufaidi kama kwao ulaya?.

Kwa uzuri au ubora upi haswa ulionao Mmatumbi wewe Mzungu aje akujengee nyumba aweke tiles na Jacuzi ili wewe uwe unajilaza kwenye kochi kuangalia tv....wakaachwa Wajapan, Wafilipino, Wavenezuela.

Hili wala halihitaji kupekua vitabu bali ni common sense tu ndugu...na kama ndivyo ilivyokuwa basi jiulize ni kwa nini walifanya hivyo..ukipata jibu linal make sense kwako unishirikishe.

View attachment 2318970
Kwa hiyo na hawa walikuwa wanafaidika na hizo facilities walizojenga Wazungu?

Waliokuwa wanafaidika sanasana ni wale waliojulikana kwa majina maarufu kama "Boy wa Mzungu"...sijui kama ulikutana na haya majina maana sijui umri wako...achana na taarifa za kuokoteza ndugu.

Mazuri yalikuwepo sawa lakini yalibagua.
Mkuu mazuri ya sasa yanawafikia watu wote?
 
Kuna mzee mmoja bhna katika story kunoga
Ghafla katupa historia ya Ubungo stendi
Katika mshangao wangu bhna ilikuwa hivi
Ubungo pale kulikuwa na KIJISTENDI KIDOGO SANA NA KULIKUWA NA MASHAMBA YA MPUNGA KWA PEMBENI WATU WANAFANYA KILIMO CHAO TU ETI,
Jamani wahenga mlioijua ubungo kuna ukweli wowote?
Kitu ninachofahamu hapo ubungo stendi palikuwa ni yard ya UDA toka 19 kweusi
 
Back
Top Bottom