TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Samattaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................Konaaaaaaaaa

Dah........Dogo anatisha
 
kwa hakika, Starz wanatakiwa kuwa makini na mashuti yanapigwa mbele: vilevile strikers inabidi waongeze juhudi na kucheza kwa kujiamini; all in all sijaona madhara makubwa kwa Starz.
 
Mbwana samatta si mchezaji wa kiwango cha kucheza Africa
 
Ya! Starz wametulia, lkn sina uhakika na mabeki kwani naona Kaseja yuko bize sana kuchomoa michomo inayochongwa na hawa wa-Arabu: kuna haja ya mabeki kujipanga sawasawa kuokoa baadhi ya hatari ili Kaseja asichoke sana.
 
Hawa wetu leo kama tutacheza kwa kiwango hiki hiki....
 
Back
Top Bottom