TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Hivi Moris sio mzanzibari kweli?

Soccer na SIASA viti viwili tofauti... hebu tuangalie timu yetu kwa ujumla acheni kuangalia nani mzenji nani mtanganyika

HongeraTaifa Stars! Tuache kulalama .. Algeria ni timu kubwa tu.. Ki mahesabu Poulsen = Capello (au tunaweza kusema Tanzania = England kimchezo); wote tumetoa draw na Algeria

Starz ya sasa angekuwa nayo Maximo leo hii tungekuwa tunasema mengine, nikikosi bora kabisa kilichojaa wachezaji bora na wenye uzoefu wa kutosha: Poulsen ameshindwa kabisa kutoa mwongozo wa Starz kuweza kuibuka na ushindi na Wazi kwamba kazi imemshinda.

Dakika ya ngapi sasa na matokeo yakoje huko TZ??? Tujuilisheni jamani?

Back
Top Bottom