TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Star tv wanaonyesha live licha ya kuwa na poor pic quality, kiss fm wanatangaza kama wanavyofanya tbc taifa. Na ninavyopost ni dkk ya 22 tumepata goli kupitia kwa mbwana samatta.
 
What a cross by Nizar Khalfan

Kweli Samatta ni Golden Boy
 
Tuombe goli hili lisirudi na tuongeze mengine!!
 
nditi na henry ni wazito kuwapanga pamoja katikati itategemea sana kiwango cha henry leo kama walau atachangamka,ngassa angeongeza spidi hapo,walimu ndo wataalamu pengine kuna mfumo maalum
 
afadhali,walau tuko mbele sasa!
 
Kiungo cha Stars kimetulia sana....Nditi na Henry wanaelewana sana pale kati
 
Back
Top Bottom