TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Mbwana Samatta yuko juu sana......Namtabiria mambo mazuri sana mbeleni
 
Ngassa, Nurdin and Victor Costa if w'll b utilized fully in second half: Starz can earn all 3points at the end of the game.
 
Foul kuelekea lango la Algeria

Maftah anapiga..

Goal kick
 
Shaban Nditi katulia sana leo......Ni mchezaji mzuri sana huyu
 
Hakuna mabadiliko yoyote yalifanyika, Starz wamerudi kama walivyokuwa awali.
 
Hawa wa alges wametubana ile mbaya mda huu. Kuna kila hatari ya kufungwa wachezaji wetu wasiposhtuka!
 
Algeria na Starz kabla ya Mechi ya leo wote walikua na point 4 wanazidiana magori tu.
 
Back
Top Bottom